Swali kuhusu ajira mpya za afya

lyajody

Senior Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
145
Reaction score
196
HIV inawezekana mtu ukipangiwa mkoa mwingine tofauti na ulikofanyia oral interview?
 
Ndio. Watu wengi tu wamefanya oral Dar wakapangiwa kazi mikoa mingine. Hii ni kwa Wizara ya Afya. Kwa TAMISEMI bado hatujapata uzoefu kwanza​
 
Na swali langu lipo Kwa upande wa tamisemi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…