we jamaa wewe si u google tu dahBandugu naomba kujua ni kwa nini marekani ilifikia hatua ya kutumia bomu la atomic huko Japani? Na kwa nini Japani hakulipiza kisasi? au walikubaliana nini hasa mpaka wajap wakaridhika??
Ni hayo tu.
we jamaa wewe si u google tu dah
war didnt end with the surrender of japan though...it was when the russian army enter berlin and take control of the statehouse
war didnt end with the surrender of japan though...it was when the russian army enter berlin and take control of the statehouse
the most expensv miltary project kwa kpnd kile ilijulikana kama manhattan project ktk projct hyo ndio us ilitengeneza hayo mabom ya atomic na yalitengenezwa kwa ajili ya kuipiga ujeruman japo kuwa awakufanikiwa kuyafanyia test mpaka 1945 na ujeruman ili surrender on may 7th so ilibakia japan ndio ilonekana tshio ktk vta ile hiroshima na nagasaki ndio yalikuwa majiji pekee yalikuwa mostly intact cities mr harry truman alisain kudrop 2 atomic bombs kwanza ilikuwa kuilazmisha japan kusarrender pili kwa ajili ya kuitisha USSR
wajapan wasinge surrender kwa silaha za kawaida. tayari wajapan walishapigana kimuhanga huko Burma, ufilipino na Solomon. haku wajapan na wamarekani wengi walikufa. sasa marekani wakajiuliza tukiingia Japan kwenyewe tutapigana kwa muda gani? casualty itakuaje?. wakaamua kuwanuke.Nilichotaka kujua ni kwa nini marekani ilifikia hatua ya kutumia atomic badala ya silaha zingine? je, waliishiwa na zana au?
Nilichotaka kujua ni kwa nini marekani ilifikia hatua ya kutumia atomic badala ya silaha zingine? je, waliishiwa na zana au?
ilitaka kumaliza vita kwa mara moja na kumtumia ujumbe Adolf kuwa he is next asipoufyata
mkuu mpaka japan wanapigwa atomc tayal ujeruman ilikuwa imesha surrender upande wa west ulikuwa chin ya england na france upande wa east ulikuwa chin ya USSR bt japan ndo ilikuwa on hit chin ya mastermind lsoroku yamamoto huyu jamaa ni hatari alisomea US havard then akarud japan walikuwa wamebakiza mile 1300 kufika US north hawaii kupitia panama canal jamaa walikuwa na nyambiz yenye uwezo wa ku deploy ndege na walikuwa na ndege 8 ktk nyambiz hyo wangefanikiwa kufka hawaii wangekuwa wa kwanza ku hit on front door ya US wange deploy ndege then ingekuwa hatari kwa us sema us waliweza kuwa detect wa msaada wa mateka wa kjesh alievujisha siri US imeiba teknologia kubwa sana kutoka japan na ujeruman jamaa walikuwa mbali sana on military tech US nyng kafanya reverse engneerling mkuu
Ukweli ni kwamba hapakuwepo na ulazima wowote wa Truman kutoa kibali cha kudondosha mabom ya muclear Japan,siku za nyuma niliwahi kueleza kwamba admin ya Trumam alisha pewa taarifa na ubalozi wa Sweden kwamba wajapan wamejipanga kusurreder ndani ya wiki moja. Sasa kwa nini Merikani ilikata shauri kudondosha mabom haya mawili regardless ya taarifa kutoka Ubalozi wa Sweden,sababu zilikuwa mbili ya kwanza ni kuiwahi Urusi isivamie J
apan na kuikalia hii ilitokana na Urusi kushinda majeshi ya Japan huko Manchuria na kuchukua mateka wengi,Urusi iliwapa taarifa Merikani na washiriki wake kuhusu mpango wake wa kuivamia Japan-mpango huo uliwashitua wamerikani kutokana na nguvu za kijeshi walizo kuwa nazo Warusi baada ya kusambaratish majeshi ya Hitler na kufanikiwa kukomboa karibu robo tatu ya bara la Ulaya,uwezo huo uliwatisha sana Wamerikani walifikil Warusi wana agenda ya kueneza ukominist Duniani hivyo kutishia itikadi za kinyonyaji za ki kapitalism
kinara wa itikadi hizo za kinyonyaji ikiwa ni Merikani.
Hivyo lengo kuu la kudondosha mabom hayo Japan lilikuwa ni kujaribu kuwatish Warusi,kitu ambacho watu wengi hawajui ni kwamba mwaka 1945 wMerikani ilikuwa imefanikiwa kutengeneza mabom mawili tu hivyo hawakuwa na mabom ya hakiba ya kudondosha kwenye target nyingine,kama nakumbuka vizuri bomu lililo dondoshwa Na
gasaki lilikuwa lidondoshwe kwenye mji wa Kakura ambao wenye viwanda vikubwa vya .kuhunda silaha
ilikuwa hasira ya Truman kutokana na kipigo cha Pearl Habor....hata ungekuwa wewe kwa kipigo cha Pearl ungelipiza kisasi tu.
...... inasemekama miaka ya 1939 tayal walikuwa na access na viumbe wa dunia nyngne yan ALLIENS na UFO
heheheee...kuna watu wanahisi hata Hitler alikuwa Alien....maana kwa sajent wa jeshi kuibuka na kuwa mkuu kama alivyofanya kwa muda mfupi si rahisi.
Aliens labda ni sawa, lakini ukweli Hitla alikuwa possessed au amekaliwa ma Lucifer mwenyewe. Aliyekuwa anafanya kazi na kusema ni Lucifer na siyo Hitler. Hii diabolic possession, huwapata watu wengi sana. Ndio maana unakuta mtu anasema na kutenda ambayo kwa kawaida haiwezekani eg kukomalia ushoga as a life style etc. So Aliens inaweza kuwa synonym ya demonic possession