Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Asante kwa elimu hii nimejifunza kitu hapa maana nilikuwa nasita kufungua jf kwa kuwa kila habari in Ukawa Lowasa na Ccm
Nami nimejifunza mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa elimu hii nimejifunza kitu hapa maana nilikuwa nasita kufungua jf kwa kuwa kila habari in Ukawa Lowasa na Ccm
What is your point ?!
If you have failed to understand my question, it is better you keep quiet for the point is very clear in my question.
kuna mtu alisalimika kweli hapo? duh
The historic event.
Hivi Marekani wamemaliza kulipa deni lao la hili bomu kutokana na maafa waliyosababisha?
Ni pesa kiasi gani inatosha kulipia hayo maafa? Thamani ya maisha ya watu ni kiasi gani?
Kipindi kile nilikuwa na miaka 17 na nilichaguliwa kwenda kupigana vita ya pili ya dunia!
enhee...
nakusikiliza mkuu.