Swali kuhusu Bomu la atomic Hiroshima

Mi nime think outside of the box na nimechukua jambo moja hapo. Aliepiga picha hiyo aidha alikufa siku hiyohiyo au alikufa ndani ya wiki moja.
 
If you have failed to understand my question, it is better you keep quiet for the point is very clear in my question.

Its clear in your head not to the one you intend to ask.
 
The historic event.
Hivi Marekani wamemaliza kulipa deni lao la hili bomu kutokana na maafa waliyosababisha?

Ni pesa kiasi gani inatosha kulipia hayo maafa? Thamani ya maisha ya watu ni kiasi gani?
 
Unaweza kuangalia pearl harbour ya ben Affleck inaelezea chanzo na tukio la bomu la nuklia iliyipigwa Hiroshima and Nagasaki
 
Ni pesa kiasi gani inatosha kulipia hayo maafa? Thamani ya maisha ya watu ni kiasi gani?

Of course you can never quantify the lives of people.
I know they were to be compensated for the damage caused.
That's what am asking
 
Habari wakuu leo ni kumbukumbu ya miaka sabini tangu kuangushwa bomu la atomic huko Iroshima Japan na kuuwa watu wengi na kuacha madhara kwa baadhi ya vizazi. R i p waliopoteza maisha
 
Mkuu ongezea kanyama kidogo.tukuelewe wote,maana wkt huo ss wengne hatukwepo,pia sio wote tunaofuatilia matukio.
 
Kipindi kile nilikuwa na miaka 17 na nilichaguliwa kwenda kupigana vita ya pili ya dunia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…