Swali kuhusu Boom

TRIPPLE G

Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
15
Reaction score
4
hivi wadau niwaulizeni?mtu ambaye kakosa loan kwa maana ana 0%,je atapata ile 7500 ya kila cku(accomodation)
 
Mbona Umeanza Kujitabiria Kupata Zeero Dont. Utapata Sawa Ee
 
Mbona Umeanza Kujitabiria Kupata Zeero Dont. Utapata Sawa Ee

bado ndugu hujanijibu swali langu,unajua kuna jamaa yangu amechaguliwa coz ambayo kwenye loan priority imeandikwa NON-PRIORITY kwenye tcu guide book,alafu kwenye profile ya kwenye amount loan kawekewa 1.hapo iko vip.
 
Kuwa na subira, zmebaki wiki mbili tu, tutajua kila kitu ila akipata zero percent boom kama kawa. Mtu anayekosa boom anawekewa dash percent (-%) hii inamaanisha hakuna boom pia zile non priority haimaanishi hawapati kitu hasha!! Wanatengewa fungu lao, mfano pale TIA na IFM kuna ADA ukiangalia course zao ni non lakini wanapata mkopo.
 

thanx mkuu,hapo umenifahamisha.
 
hivi wadau niwaulizeni?mtu ambaye kakosa loan kwa maana ana 0%,je atapata ile 7500 ya kila cku(accomodation)

jibu ni kwamba,mtu aliyekosa mkopo hawezi kupata "boom" kwani hiyo 7500 ni moja wapo ya item ndani ya huo mkopo!!!

So ukikosa mkopo that means unatakiwa ujilipie mwenyewe ada,accomodation,meals and stationary,etc!!!!.....huwezi kupata "boom" km haupati mkopo!!!!
 
mwenye asilimia sifuri hajakosa mkopo, kapata ila kwa 0%,
 

asante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…