Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona Umeanza Kujitabiria Kupata Zeero Dont. Utapata Sawa Ee
Kuwa na subira, zmebaki
wiki mbili tu, tutajua kila kitu ila akipata zero percent boom kama
kawa. Mtu anayekosa boom anawekewa dash percent (-%) hii inamaanisha
hakuna boom pia zile non priority haimaanishi hawapati kitu hasha!!
Wanatengewa fungu lao, mfano pale TIA na IFM kuna ADA ukiangalia course
zao ni non lakini wanapata mkopo.
thanx mkuu,hapo umenifahamisha.
hivi wadau niwaulizeni?mtu ambaye kakosa loan kwa maana ana 0%,je atapata ile 7500 ya kila cku(accomodation)
tulia acha wenge yote hayo utayapata ukifika chuo alaaaaaaaaaaaaaaahivi wadau niwaulizeni?mtu ambaye kakosa loan kwa maana ana 0%,je atapata ile 7500 ya kila cku(accomodation)
Kuwa na subira, zmebaki wiki mbili tu, tutajua kila kitu ila akipata zero percent boom kama kawa. Mtu anayekosa boom anawekewa dash percent (-%) hii inamaanisha hakuna boom pia zile non priority haimaanishi hawapati kitu hasha!! Wanatengewa fungu lao, mfano pale TIA na IFM kuna ADA ukiangalia course zao ni non lakini wanapata mkopo.
we need person like himu....