Swali kuhusu Brela

Swali kuhusu Brela

Nina swali wana JF .Je Mfumo wa Brela kufanyia kazi taarifa zilizoboreshwa kwa kuchukua mda huwa inachukua mda gan mpaka mchakato mzma umalizike?
NImekutana na tatizo kama hilo na nimeshindwa kuendelea naona malipo yangu yanaenda kuliwa bure
 
Nina swali wana JF .Je Mfumo wa Brela kufanyia kazi taarifa zilizoboreshwa kwa kuchukua mda huwa inachukua mda gan mpaka mchakato mzma umalizike?
Habari, kwa maombi ya taarifa za jina la biashara hufanyiwa kazi ndani ya siku mbili za kazi, kwa upande wa maombi ya taarifa za mabadiliko ya kampuni hufanyiwa kazi ndani ya siku tatu za kazi baada ya kukamilisha taratibu zote zinazohitajika kwa muhibi wa sheria.
 
hv BRELA kurenew jina la biashara n kila baada ya muda gan? mfano Kwa aliyoomba mwaka Jana mwez wa sita...

nitangulize shukrani;
 
hv BRELA kurenew jina la biashara n kila baada ya muda gan? mfano Kwa aliyoomba mwaka Jana mwez wa sita...

nitangulize shukrani;
Habari, malipo ya ada ya mwaka ya utunzaji wa jina la biashara hulipwa kila mwaka baada ya kukamilisha usajili wa jina la biashara yako. Gharama ya malipo ya ada ya mwaka ya utunzaji wa jina la biashara ni TZS. 5,000/= kila mwaka.
 
Back
Top Bottom