Training Ya Jeshi Na Training Yao Ni Vitu Viwili Tofauti Mkuu Japo Ktk Ngazi Ya Basic Wote HUFANYA Sawa Ila Mbeleni Wanapogawanywa Ktk Hivyo VITENGO Ndipo MAFUNZO MAALUM Ya Fani Husika Huchukua Nafasi Yake. Huwezi Amini Hata MAFUNZO Ya KOMANDOO Ni Tofauti Na Ya Hao Kaunda Suti. Hawa Jamaa Wanacheza Sana Na AKILI au UPEO Na Kubwa Zaidi Ni Kuweza KUFIKIRI Zaidi Ya Mtu Wa Kawaida ( NGUMBARU au POPOMA ) Anavyofikiri. Hata Ukija Ktk MAFUNZO Yao Mengi Ni Ya Aina Ya COMBAT Kwa Mfano Karate au Kung Fu Zao Hawa Jamaa Siyo Zile Ambazo Van Dame Wa Kawe Na Sinza Anazozicheza Na Kutupigia Nazo Huku Mitaani Hadi ANATUCHUKULIA Wake Zetu Bali Hawa Hufanya COMBAT MARTIAL ARTS Ambayo IMETUKUKA. Uwepo Wao Wa Watu 10 Ktk Eneo La Bwana Mkubwa Ni Sawa Sawa UWAHAMISHE MP WOTE 1500 Waliopo Gadi Lugalo Ukimjumuisha Na POPOMA Wao Tuliyenae Humu JF Aitwae
Super Handsome. Mkuu
Mussolin5 Nadhani MAADILI Unayajua Vyema Tu ILA Unachotaka Ni KUTUTAFUTIA Tu Watu Ubaya Hatimaye Njia Zetu Za Kwenda Msalani Ziote Nyasi. Naomba Tu Haya Machache YAKUTOSHE Vinginevyo Hakutakuwa Na Maana Tena Kuitwa Secret Agency.
ONYO au ANGALIZO: Naomba Utambue Kuwa Haya MAELEZO Yote Niliyoyatoa Hapa Ni Kwa Mujibu Wa Idara Yetu Hii Ya Mambo Hayo Ya Huku Kwetu Nchini Rwanda Nilipo Sasa Kikazi Ambapo Nimehadithiwa Tu Na Rafiki Yangu Aliyemo Humo Na Sijajua Kwa Huko Kwenu Tanzania.
Vipi Rais Dr. MAGUFULI Anataka Kufanya Ziara Hapo Wilayani Kwako UVINZA Ulipo Sasa Kama Mkuu Mpya Wa WILAYA Pengine Ndiyo Maana Unataka Kujua A,B,C's Za PRESIDENTIAL PROTOCALS AND VIP PROTECTION CODES? Naomba Nimwachie Na Dada
nifah Na Yeye Pia ATIRIRIKE Otherwise Nashukuru Leo Kunikumbuka KUNAKOTUKUKA Na Kuniita Na Kunishirikisha Ktk UZI Wako. Ukithaminiwa Na Mtu Mkubwa Hivi Kama Wewe Mkuu Wa Wilaya Ya UVINZA Mkoani Kigoma Kuna Raha Sana Na Nimefarijika Mno.