Swali kuhusu Gwaride kwenye sherehe za kitaifa

Mwana TISS popoma lililotukuka.
Huwa naona jinsi mnavyoaminishwa na Gentamycine halafu mnamuaamiiiiiini. Asilimia 90 ya taarifa zake ni chumvi na hisia zake binafsi. Bahati mbaya kwakuwa hamjui kilichopo ndani basi mnaaminishwa uongo.
Ni sawa na jamaa mmoja alikuwa anadai eti wale komando wa tz wana uwezo wakuruka kutoka kwenye gari lenye speed ya 220km/hr. Wakati hata hao Rangers wa USA au MOSAD hakuna anayeweza hapa speed ya 90km/ hr.
 


Asante sana Mbwigiri uliyetukuka. Wasalimie hapo mkoani Gitarama
 


Maana Rais huingia uwanjani kukagua majeshi ya Ulinzi na Usalama, sasa mbona hawa jamaa wao huwa hawapo kwa ajili ya kupiga gwaride kama wenzao.Anayejua tafadhali aje atujulishe.

Cc
GENTAMYCINEnifah na wengineo.



NI NCHI GANI DUNIANI AMBAYO HAWA JAMAA WANAPIGA KWATA?


Sometimes you have to think better before you let somebody think on your behalf........
[/QUOTE]



kwanini hawapigi sasa?
 
Huyu jamaa ni noma,nimecheka hadi mbavu zinauma.

Mkiburudika Kama Hivi Na Kuongeza Siku Zenu Za Kuishi Kwa Kucheka Mimi Hufarijika Sana Na Mno. Na Nitaendelea Kuwavunjeni Mbavu Kwa Kuwachekesheni Hadi Mniombe Po! Najua Sasa Hivi Umeshalala Dada Yangu Ila Mwenzio Ndiyo Kumekucha Sasa Na Najiandaa Kuanza Kuruka Juu Kama Popo Kuwalimisha Watu! Ulale Salama Dada Yangu Kipenzi Na Nakupenda KUNAKOTUKUKA.
 

Kamwe Usitake Na Hata Usije Ukathubutu Kujifananisha Na Mimi Kwa Chochote Kile. Najua Leo CV Yako Itaimarika Kwani Umejitokeza Kutaka Kufanya Ligi Na Mimi Na Kama Ujuavyo Humu Ukiwa Tu Unajibizana Na Mimi Utajulikana Na Wengi Na ID Yako Itaanza Kukaribia Kuwa Super Brand Kama Ya GENTAMYCINE, nifah Na Mussolin5. leo Najua Utalala Usingizi Kwani Na Wewe UMEJITUTUMUA Kutafuta KIKI Kwa Members Humu Kwa Mgongo Wangu. Hongera Sana POPOMA.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahaaaa uwiiiiiiiii ndio maana nakupenda sana kaka yangu kipenzi popoma,umenichekesha mbavu sina.
You made my day,thank you.
Mmmmmmh kwani nini? Usinipende Mimi.
 

jibu rahisi kuliko yote ni hili. USALAMA WA TAIFA SIO JESHI. ndio maana bosi wao anaitwa MKURUGENZI. Wale wote wanaopiga gwaride ni majeshi.
 
Huyu jamaa ni noma,nimecheka hadi mbavu zinauma.

Hahahaaaa., jamaa comedy kweli kweri, yaani nilicheka hadi viungio vikawa vinauma na I bed watu around walinion punguani.
 
Hahahaaaa., jamaa comedy kweli kweri, yaani nilicheka hadi viungio vikawa vinauma na I bed watu around walinion punguani.
Mimi mchana kazini watu waliniona chizi,nilivyorudi home nikarudia tena kusoma.
Huyu jamaa anakuambia hata kwenye daladala halipi nauli sababu ya hizi story zake.
Hahahahaaaa
 
Mimi naomba kujua IDADI yao nchi nzima
 

!
!
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😬😬😬😬😬😬😬🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃😅😅😬
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…