vipi kama windows update na ma application mengine kama anti-virus na ma cookies yana download na ku update definitions nyuma nyuma huko bila wewe kujua.Airtel ni wezi tu... Nimechukua package yao ya 400MB nimedownload file lenye ukubwa wa 37 na kusurf kidogo, nilipocheck balance kuta zimebaki 307mb ikimaanisha nimetumie 93mb kitu ambacho siyo kweli...
Habari wadau
Mimi nilikuwa natumia zantel siku za nyuma ambapo mtandao wao ulikuwa hausumbui, walikuwa wananipa 2GB kwa alfu kumi kwa wiki moja,Toka umeanza kusumbua nikahamia airtel ambapo wananipa 3Gb kwa alf 15 kwa wiki, sasa swali langu ni kuwa hii 3GB inaisha kabla ya wiki na wakati natumia zantel 2GB yao ilikuwa haishi ndani ya wiki na matumizi yangu ni yako sawa tu, naomba ujuzi wenu wadau
Mkuu window update ziko off,antivirus na update officen , hakuna software inayoji update yenyewe, nilipo sema kusurf kidogo nilicheck mail kama dakika 10 hivi....vipi kama windows update na ma application mengine kama anti-virus na ma cookies yana download na ku update definitions nyuma nyuma huko bila wewe kujua.
Halafu ku surf kidogo ndio kipimo gani, uki surf u-tube au site lenye mi picha mirefu dakika tano tu itakula kwako big time. Point is, it's difficult to quantify the bandwidth downloaded by just keeping track of time spent on the net.
In my experience Airtel ya 400MB kwangu inakaa at least wiki nzima, na kwa 2,500/= siwezi kulalamika, haswa ukilinganisha na alternatives zilizopo.
Mkuu wakati mwingine linatokea tatizo la kimtandao, kuna siku niliingiza kama 10,000 hv kwa kununua zile 400MB ambazo ni shilingi 2,500 sababu kila nikiweka natumia kidogo naambiwa hela imeisha, lakini baada ya siku kama 3 hv nilipokea sms kutoka Airtel wakiomba radhi kwa tatizo la kimtandao kwahiyo waliniwekea MB zenye gharama ya pesa niliyokuwa nikiweka.
Lakini kwa sasa nimehama kabisa AIRTEL nimeingia VODACOM ambapo nanunua bundle ya UNLIMITED siku 7 kwa 10,000 au bundle ya UNLIMITED mwezi mmoja kwa 30,000. Na-download hadi movies bila shida! Jaribu INTERNET YA VODACOM mkuu.
Mkuu wakati mwingine linatokea tatizo la kimtandao, kuna siku niliingiza kama 10,000 hv kwa kununua zile 400MB ambazo ni shilingi 2,500 sababu kila nikiweka natumia kidogo naambiwa hela imeisha, lakini baada ya siku kama 3 hv nilipokea sms kutoka Airtel wakiomba radhi kwa tatizo la kimtandao kwahiyo waliniwekea MB zenye gharama ya pesa niliyokuwa nikiweka.
Lakini kwa sasa nimehama kabisa AIRTEL nimeingia VODACOM ambapo nanunua bundle ya UNLIMITED siku 7 kwa 10,000 au bundle ya UNLIMITED mwezi mmoja kwa 30,000. Na-download hadi movies bila shida! Jaribu INTERNET YA VODACOM mkuu.
Connect your personal home computer to the internet and make it an invaluable source of education, communication, information and entertainment, 24/7!
Everyone in the family has their own need for the internet - whether its wikipedia, amazon, e-bay, gmail, messenger or facebook! Everyone wants to use it, all day long! At the same time, you need to control costs. So, for your home, Vodacom offers you Internet Bomba - a stable connection at a fixed cost.
Internet Bomba offers UNLIMITED data usage with best effort speeds of up to 64kbps, and purchase options of either 7-days or 30-days. Internet Bomba can be accessed via a standard built-in or USM modem or data card configured on Vodacom Internet connected to a laptop or desktop computer.
Available on Vodacom Prepaid only, Internet Bomba is very easy to connect and maintain. Customers simply purchase via SMS to 15300. Eg. SMS BOMBA30 to 15300 and get 30 days of worry-free internet access! Internet Bomba can be accessed using a standard USB modem or data card configured on Vodacom Internet which is connected on a laptop or desktop computer.
SMS to 15300 Internet Access Days
Tariffs
BOMBA7 7 @64kbps Tsh 10,000
BOMBA30 30@64kbps Tsh 30,000
hiyo speed ya 64kbps ni sawa na kasi ya kobe.
Bora niendelee kula 400mb za airtel kwa 2500 na speed ikofresh tu.
Vipi kuhusu TTCL wadau? mbona hata na wao wana Banjuka inakuwa unlimited kwa kulipia muda ambao utakua una-surf online na siyo kulipia data? speed yao ikoje??
Andika neno internet na tuma 15444 na utajibiwa kuwa unataka kununua 400 MB kwa 2,500.00. Itakubidi ujibu ndiyo. Baada ya hapo kula bata, mambo yote Airtell. Speed ya uhakika gharama nafuu.Nikitaka kupata 400mb za airtel kwa 2,500 nifanyeje? Nimewapigia customer service, hata hawapokei simu na website yao haionyeshi bundle rates
Andika neno internet na tuma 15444 na utajibiwa kuwa unataka kununua 400 MB kwa 2,500.00. Itakubidi ujibu ndiyo. Baada ya hapo kula bata, mambo yote Airtell. Speed ya uhakika gharama nafuu.
dah jamaa yangu nakuonea huruma ..TTCL??!! mi naona ki ukweli kwa Tanzania Internet bado tuko nyuma..kwa sasa nawashuri kuchakachua tu modem manake kwa kufanya hivyo unakuwa free kutumia internet ya mtandao wowote kwa wakati utakao..siku voda ikizingua unahamia tgo, tgo nayo wakiringa unarukia airtel...manake ki ukweli kwa sasa kila mtandao unamatatizo yake...mi ni mdau mkubwa sana wa voda na nnachoprndea ni ile UNLIMITED bandwidth tu..ingawa kuna mda mtandao nahisi unakuwa down cjui ..ndo hapo nnapohamia zantel kwa mda au aitel...TTCL is the best kati ya hao MAFISADI WOOOTE. Wizi mtupu!