GAMBLER
JF-Expert Member
- Nov 22, 2009
- 303
- 11
Habari wadau
Mimi nilikuwa natumia zantel siku za nyuma ambapo mtandao wao ulikuwa hausumbui, walikuwa wananipa 2GB kwa alfu kumi kwa wiki moja,Toka umeanza kusumbua nikahamia airtel ambapo wananipa 3Gb kwa alf 15 kwa wiki, sasa swali langu ni kuwa hii 3GB inaisha kabla ya wiki na wakati natumia zantel 2GB yao ilikuwa haishi ndani ya wiki na matumizi yangu ni yako sawa tu, naomba ujuzi wenu wadau