Swali kuhusu kununua vitabu mtandaoni

Swali kuhusu kununua vitabu mtandaoni

Empirically

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2019
Posts
238
Reaction score
87
Habari wakuu,

Samahani nauliza ukinunua kitabu mtandaoni, halafu ukawa huna hela ya wao kukutumia Kama ni cha kutoka nje ya nchi unaweza ukakisoma kwa soft copy baada ya kununua?

Na pia, Kama kuna mtu anajua hivi vitabu Chemistry demystified 2nd edition vinapatikana wapi hapa Tanzania anijulishe.
 
halafu ukawa huna hela ya wao kukutumia Kama ni cha kutoka nje ya nchi unaweza ukakisoma kwa soft copy baada ya kununua?
Ni vyema ukanunua softcopy, na utakisoma kupitia app katika Tabs au PC yako
1599309137680.png

Nina first edition
- Download attachment

Vitabu vingine viloivyopo katika softcopy hivi hapa
1599309408315.png
 
Attachments

Ni vyema ukanunua softcopy, na utakisoma kupitia app katika Tabs au PC yako
View attachment 1559482
Nina first edition
- Download attachment

Vitabu vingine viloivyopo katika softcopy hivi hapa
View attachment 1559491
Nashukuru ndugu kwa kunijulisha, first edition na mm ninayo , nlkua naulza km Kuna uwezkano wa kununua soft copy, Basi nkipata hela na Pc nitafanya mchakato ,
 
Pia wakati wa kununua, nitarudi kuomba msaada nikikwama , kwa hyo hivi vitabu bongo havipo ee?
 
kwa hyo hivi vitabu bongo havipo ee?
Wauzaji wa vitabu huangalia vile ambovyo hutumiwa zaidi na wengi, vinauzika kwa haraka. Kumbuka wanafanya biashara kwa kuangalia soko linataka nini zaidi, ili wapate faida.
 
, nlkua naulza km Kuna uwezkano wa kununua soft copy
Ndio inawezekana, Delivery ni instantly baada ya malipo amazo .com, Utakachofanya ni kudownload na kuanza kujisomea kupitia kindle app.
Code:
 https://www.amazon.com/Amazon-Digital-Services-LLC-Download/dp/B00UB76290
 
Nashukuru sana
 
Back
Top Bottom