Empirically
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 238
- 87
Ni vyema ukanunua softcopy, na utakisoma kupitia app katika Tabs au PC yakohalafu ukawa huna hela ya wao kukutumia Kama ni cha kutoka nje ya nchi unaweza ukakisoma kwa soft copy baada ya kununua?
Nashukuru ndugu kwa kunijulisha, first edition na mm ninayo , nlkua naulza km Kuna uwezkano wa kununua soft copy, Basi nkipata hela na Pc nitafanya mchakato ,Ni vyema ukanunua softcopy, na utakisoma kupitia app katika Tabs au PC yako
View attachment 1559482
Nina first edition
- Download attachment
Vitabu vingine viloivyopo katika softcopy hivi hapa
View attachment 1559491
Wauzaji wa vitabu huangalia vile ambovyo hutumiwa zaidi na wengi, vinauzika kwa haraka. Kumbuka wanafanya biashara kwa kuangalia soko linataka nini zaidi, ili wapate faida.kwa hyo hivi vitabu bongo havipo ee?
Ndio inawezekana, Delivery ni instantly baada ya malipo amazo .com, Utakachofanya ni kudownload na kuanza kujisomea kupitia kindle app., nlkua naulza km Kuna uwezkano wa kununua soft copy
https://www.amazon.com/Amazon-Digital-Services-LLC-Download/dp/B00UB76290
Nashukuru sanaNdio inawezekana, Delivery ni instantly baada ya malipo amazo .com, Utakachofanya ni kudownload na kuanza kujisomea kupitia kindle app.
Code:https://www.amazon.com/Amazon-Digital-Services-LLC-Download/dp/B00UB76290