economista
JF-Expert Member
- Apr 1, 2014
- 291
- 247
Siongelei supp wala uwezo.
Nataka kufahamu kama masters ya chuo flan ni zaidi ya masters ya chuo kingine kwa kozi moja.
Kasome bwana. Mbona zipo shule za kata watu wanasoma na wanafaulu vizuri?
First class inakusubiri hapo, kaichukue faste.
hata kama chuo kimesajiliwa ni vyema kuwa makini kabla ya kujiunga na chuo husika. mfano kuna vyuo ambavyo kozi za masters zinafundishwa na wahadhiri wenye masters degree, hii nadhani sio sahihi kitaaluma.
Hujitambui wewe
Huwa nashindwa kuwaelewa kabisa watanzania wenzangu!~ Jamani, sasa hivi tupo kwenye Globalisation world, then wewe unang'ang'ana na elimu ya 20th century, why?
We have moved from 20th century, 21st century, new millennium now Globalisation, lakini watu bado mnafikiri na kutenda ki-20th century.
Hivi yale makampuni ya Gas na Mafuta kule mtwara yakikunyima kazi na kumpa m-Kenya utayalaumu?
Habari wadau.
Nina mpango wa kuanza kusoma MBA mt. Meru university lakini mbona watu wanaponda saana hicho chuo?
Kwani ukiwa na masters je inatofautishwa kwa chuo ulichosoma au??
Msaada jamani maana vyuo vingine ada ni juu sana.
Huwa nashindwa kuwaelewa kabisa watanzania wenzangu!~ Jamani, sasa hivi tupo kwenye Globalisation world, then wewe unang'ang'ana na elimu ya 20th century, why?
We have moved from 20th century, 21st century, new millennium now Globalisation, lakini watu bado mnafikiri na kutenda ki-20th century.
Hivi yale makampuni ya Gas na Mafuta kule mtwara yakikunyima kazi na kumpa m-Kenya utayalaumu?
nakuunga mkono,pia kuna lecture mmoja ana article kibao.pia ana masters tatu tofauti na bachelor mbili. alikuwa senior lectureNi sahihi mtu wa masters kufundisha watu wa masters kama ana experience kubwa na ameandika articles nyingi kiasi kwamba ameweza kuwa senior lecturer hata bila ya kuwa na phd. Ikumbukwe kuwa hata mtu mwenye masters anaweza akawa senior lecturer km atakuwa ameandika sana articles.
Ila sio sahihi kwa masters holder ambaye ni assistant lecturer kufundisha watu wanao soma masters
upo sawa mkuu.ufundishaji wa mount meru,arusha,tia,iaa ni tofauti sana na vile vyuo tunavyoviona bora,maana wanafundisha kwa ku assume mnajua .tofauti na sehemu nyingine mwalimu anafundisha kwa nguvu kama chuo chake vile.chuo si sekondary na lecturer sio mwalimu/teacherNadhani tatizo umeli create mwenyewe hapa, inaonekana una nia ya kusoma MBA thats fine, unaweza kusoma popote. Maana siku hizi ajira zinatolewa kulingana na sifa na pengine zinatolewa kindugu na hakuna mahali watakaposema tunataka MBA za UD au Mzumbe, so ni ruksa kusoma popote. Ila ukweli kwamba Chuo hicho wanakiponda una details zaidi wewe uliyesema. Kila chuo kina madhaifu yake, mengine ya kweli mengine si ya kweli, jukumu ni kwako kupima vizuri kabla hujafanya maamuzi. Ila asikudanganye mtu kwamba UD au MZUMBE ndio Best. Sisi tuliosoma UD sana sana tulijifunza personality part of our lecturers than materials walizokuwa wanatufundisha. Kuna kozi mwl aliingia siku moja tu na tukafanya final yake na tukafeli lakini hakuna aliyelalamika maana ukilalamika ndio humalizi hiyo masters, mwl lengo lake ni kutupa sup hayo tuliyakubali lakini ni changamoto za kawaida. Sisemi uende huko kwa sababu hutapata SUP ila kwa sababu utaenda kutia juhudi ili utoke na ufahamu hicho ndo cha muhimu. Asikudangaye mtu vyuo vikuu sio sekondari, wala hakuna guarantee ya kutoka mzuri peculiar kwa sababu ya kusoma UD au MZUMBE au IFM, mapoyoyo yapo mengi sana vile vile.
Mbona haueleweki? au na wewe upo ki 18th C?
Kapige SAUT au AIA.