Swali kuhusu masters degree

Swali kuhusu masters degree

Siongelei supp wala uwezo.
Nataka kufahamu kama masters ya chuo flan ni zaidi ya masters ya chuo kingine kwa kozi moja.

Ukweli ni kwamba kila chuo kinakuwa kiko vizuri zaidi kwenye upande fulani.kwa mfano mtu akitaka kufanya masters ya uchumi ningemshauri akasome udsm, mtu akitaka masters ya mass communication ningemshauri akasome saut, mtu akitaka masters ya finance and accounting ningemshauri aende mzumbe japo hawa kwa sasa wapo kibiashara sana hivyo masters zao zinapoteza thamani.
 
hata kama chuo kimesajiliwa ni vyema kuwa makini kabla ya kujiunga na chuo husika. mfano kuna vyuo ambavyo kozi za masters zinafundishwa na wahadhiri wenye masters degree, hii nadhani sio sahihi kitaaluma.

Ni sahihi mtu wa masters kufundisha watu wa masters kama ana experience kubwa na ameandika articles nyingi kiasi kwamba ameweza kuwa senior lecturer hata bila ya kuwa na phd. Ikumbukwe kuwa hata mtu mwenye masters anaweza akawa senior lecturer km atakuwa ameandika sana articles.
Ila sio sahihi kwa masters holder ambaye ni assistant lecturer kufundisha watu wanao soma masters
 
Huwa nashindwa kuwaelewa kabisa watanzania wenzangu!~ Jamani, sasa hivi tupo kwenye Globalisation world, then wewe unang'ang'ana na elimu ya 20th century, why?

We have moved from 20th century, 21st century, new millennium now Globalisation, lakini watu bado mnafikiri na kutenda ki-20th century.

Hivi yale makampuni ya Gas na Mafuta kule mtwara yakikunyima kazi na kumpa m-Kenya utayalaumu?

...uyu jamaa sijamuelewa kabsaa,au mi nipo ki 22nd c, maana sikonekt kabsa....
 
Habari wadau.
Nina mpango wa kuanza kusoma MBA mt. Meru university lakini mbona watu wanaponda saana hicho chuo?
Kwani ukiwa na masters je inatofautishwa kwa chuo ulichosoma au??
Msaada jamani maana vyuo vingine ada ni juu sana.

Nadhani tatizo umeli create mwenyewe hapa, inaonekana una nia ya kusoma MBA thats fine, unaweza kusoma popote. Maana siku hizi ajira zinatolewa kulingana na sifa na pengine zinatolewa kindugu na hakuna mahali watakaposema tunataka MBA za UD au Mzumbe, so ni ruksa kusoma popote. Ila ukweli kwamba Chuo hicho wanakiponda una details zaidi wewe uliyesema. Kila chuo kina madhaifu yake, mengine ya kweli mengine si ya kweli, jukumu ni kwako kupima vizuri kabla hujafanya maamuzi. Ila asikudanganye mtu kwamba UD au MZUMBE ndio Best. Sisi tuliosoma UD sana sana tulijifunza personality part of our lecturers than materials walizokuwa wanatufundisha. Kuna kozi mwl aliingia siku moja tu na tukafanya final yake na tukafeli lakini hakuna aliyelalamika maana ukilalamika ndio humalizi hiyo masters, mwl lengo lake ni kutupa sup hayo tuliyakubali lakini ni changamoto za kawaida. Sisemi uende huko kwa sababu hutapata SUP ila kwa sababu utaenda kutia juhudi ili utoke na ufahamu hicho ndo cha muhimu. Asikudangaye mtu vyuo vikuu sio sekondari, wala hakuna guarantee ya kutoka mzuri peculiar kwa sababu ya kusoma UD au MZUMBE au IFM, mapoyoyo yapo mengi sana vile vile.
 
yani we jamaa unafurahisha sana,yan mpaka una bachela yako safiii ujui chuo gani kizuri kwa field yako?ivi uko serious kweli au unazingua tu?ok kwa kukusaidia tu atleast fanya MZUMBE UNIVERSITY ada zao ziko chini pia....ila kama unataka kuwa mkalina kuuzika kafanye MBA UDSM...ni mtazamo tu
 
Huwa nashindwa kuwaelewa kabisa watanzania wenzangu!~ Jamani, sasa hivi tupo kwenye Globalisation world, then wewe unang'ang'ana na elimu ya 20th century, why?

We have moved from 20th century, 21st century, new millennium now Globalisation, lakini watu bado mnafikiri na kutenda ki-20th century.

Hivi yale makampuni ya Gas na Mafuta kule mtwara yakikunyima kazi na kumpa m-Kenya utayalaumu?

Mbona haueleweki? au na wewe upo ki 18th C?
 
Mm kwanza ningependa kujua degree ya kwanza ulipata daraja gani.Ajira wanaangalia sn first degree. Pili usifuate maneno ya watu. Kila chuo accredited unaweza kusoma na kupata ajira. Cha msingi ukishaingia kazin utafute training za kutosha. Mfano mm first degree nimesoma open. Master in business adm of finance open pia. Nikafanya Acca. Nikaenda training kibao nje ya nchi. Lakin MBA open nimefundishw na ma Dr wote wa Udsm.Nimepata ajira nzur tu kwn international organisation moja. Adv.Wabongo wengi wanapenda story sn na ndoto. Watakwambia chuo kizur ni Havard. Je wote tusome Havard ? Ww soma chuo chochote accredited na fanya training nyingi ajira utapata tu.
 
Ni sahihi mtu wa masters kufundisha watu wa masters kama ana experience kubwa na ameandika articles nyingi kiasi kwamba ameweza kuwa senior lecturer hata bila ya kuwa na phd. Ikumbukwe kuwa hata mtu mwenye masters anaweza akawa senior lecturer km atakuwa ameandika sana articles.
Ila sio sahihi kwa masters holder ambaye ni assistant lecturer kufundisha watu wanao soma masters
nakuunga mkono,pia kuna lecture mmoja ana article kibao.pia ana masters tatu tofauti na bachelor mbili. alikuwa senior lecture
 
Nadhani tatizo umeli create mwenyewe hapa, inaonekana una nia ya kusoma MBA thats fine, unaweza kusoma popote. Maana siku hizi ajira zinatolewa kulingana na sifa na pengine zinatolewa kindugu na hakuna mahali watakaposema tunataka MBA za UD au Mzumbe, so ni ruksa kusoma popote. Ila ukweli kwamba Chuo hicho wanakiponda una details zaidi wewe uliyesema. Kila chuo kina madhaifu yake, mengine ya kweli mengine si ya kweli, jukumu ni kwako kupima vizuri kabla hujafanya maamuzi. Ila asikudanganye mtu kwamba UD au MZUMBE ndio Best. Sisi tuliosoma UD sana sana tulijifunza personality part of our lecturers than materials walizokuwa wanatufundisha. Kuna kozi mwl aliingia siku moja tu na tukafanya final yake na tukafeli lakini hakuna aliyelalamika maana ukilalamika ndio humalizi hiyo masters, mwl lengo lake ni kutupa sup hayo tuliyakubali lakini ni changamoto za kawaida. Sisemi uende huko kwa sababu hutapata SUP ila kwa sababu utaenda kutia juhudi ili utoke na ufahamu hicho ndo cha muhimu. Asikudangaye mtu vyuo vikuu sio sekondari, wala hakuna guarantee ya kutoka mzuri peculiar kwa sababu ya kusoma UD au MZUMBE au IFM, mapoyoyo yapo mengi sana vile vile.
upo sawa mkuu.ufundishaji wa mount meru,arusha,tia,iaa ni tofauti sana na vile vyuo tunavyoviona bora,maana wanafundisha kwa ku assume mnajua .tofauti na sehemu nyingine mwalimu anafundisha kwa nguvu kama chuo chake vile.chuo si sekondary na lecturer sio mwalimu/teacher
 
Una GPA ya ngapi? umesoma chuo gani na kozi gani degree ya kwanza?
 
Back
Top Bottom