Swali kuhusu mbegu za kiume

Swali kuhusu mbegu za kiume

Dunia ina mhemko sana aisee. Daaaaaah.
Basi saaaawaaaaa. naona sasa hivi sex education out out.
 
Wana jf tumvumilie ndugu ni mgeni. Wenda tatizo alilokuwa nalo ndo limemfanya kujiunga jamii forums
" Member Since: Tuesday Messages: 3 Likes
Received: 1 Trophy Points: 5 Liked: 2"
Kashazoe kuandika message kwenye simu kutumia shortcut. MBEGU za kiume zinakomaa pindi tu utakapo balehe na kuziona dalili.
Kuna jukwaa la doctor waambie moderator waamishe wapeleke uko.
Mgeni karibu ukumbin sijajua kama ulienda kujitambulisha
 
Hyo cku ya tatu iwe ni ndani ya masaa 24?au kuna masaa maalumu?
 
Mbegu zakiume hukomaa kwa muda gani ?[emoji41]
2017-01-10_02.33.10.jpg
 
Back
Top Bottom