Mbegu zakiume hukomaa kwa muda gani ?[emoji41]
zinakomaa ndani ya siku 3 siku ya nne imoooo!Mbegu zakiume hukomaa kwa muda gani ?[emoji41]
😀😀😀😀hahahahaaaaaaa anawaza kwa kutumia kichwa chenye jicho moja
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kwa huo uandishi inaonekana akili tayari zimeshahamia chini
We jamaa umenifanya nicheke sana aiseee......!!!!!zinakomaa baada ya miaka 70, muombe Mungu ufike ila kama umeoa, mwambie mkeo anitatfe maana wewe unasubili zikomae.
Mkeo akiwa kwenye siku zake siku siku ya tatu tuu....piga kitu mimba tayari mkuuMimba hutungwa Siku gan baada ya kutoka kwenye cku zake ?
Mkuu upo?Siku tatu au mbili hivi inatosha.
Umri wako tafadhaliMbegu zakiume hukomaa kwa muda gani ?[emoji41]
Atakuwa ana umri wa kiutu uzimaUmri wako tafadhali
Yes. Nipo mkuu. Long live JFMkuu upo?
Miaka 22Umri wako tafadhali
Mbegu zakiume hukomaa kwa muda gani ?[emoji41]