Swali kuhusu mkurugenzi wa makosa ya jinai (DCI)

Swali kuhusu mkurugenzi wa makosa ya jinai (DCI)

NostradamusEstrademe

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2017
Posts
3,402
Reaction score
4,532
DCI kwa mamlaka yake utasikia amefutilia mbali kesi flani.
Swali huwa anaamua akijisikia au kuna taratibu za kisheria zinafuatwa kabla hajaamua?
Au anaweza amua kwa maslahì mapana ya kitaifa?maana kwa mawazo yangu kosa ni kosa.
Wanasheria msaada pse
 
Kitaalam inaitwa nolle prosequi ni lugha ya kilatin ikiwa na maana no longer prosecute mkurugenzi wa mashtaka pekee ndiye mwenye mamlaka hayo kisheria mara nyingi huwa ni kwa maslahi mapana ya taifa
 
Kitaalam inaitwa nolle prosequi ni lugha ya kilatin ikiwa na maana no longer prosecute mkurugenzi wa mashtaka pekee ndiye mwenye mamlaka hayo kisheria mara nyingi huwa ni kwa maslahi mapana ya taifa
Hawezi kuifuta ile kesi ya South kwa maslai mapana ya SADEC? nae si mwenyekiti wa MaDPP?
 
Back
Top Bottom