DCI kwa mamlaka yake utasikia amefutilia mbali kesi flani.
Swali huwa anaamua akijisikia au kuna taratibu za kisheria zinafuatwa kabla hajaamua?
Au anaweza amua kwa maslahì mapana ya kitaifa?maana kwa mawazo yangu kosa ni kosa.
Wanasheria msaada pse
Kitaalam inaitwa nolle prosequi ni lugha ya kilatin ikiwa na maana no longer prosecute mkurugenzi wa mashtaka pekee ndiye mwenye mamlaka hayo kisheria mara nyingi huwa ni kwa maslahi mapana ya taifa