Swali kuhusu mtoto

Never waste your time for impossibles ......!
 
Hoja yako haina mshiko kwahiyo haiwezi kujibiwa kama mtihani darasani!
 
we nawe umekosa sred ya kuanzisha... Mungu wetu ni MWEMA SANA, so acha mzaha na Mungu.

afu na li avatar lako ndo unatia KINYAAAAAAAAAAAAA :A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down:
 
jina lako tu lnaendana na swali lako
 
Unatania watu au unamtania mungu? Sijaelewa, hakuna Mungu wa masharti kama ya binadamu.
 
Yaani mungu akupe mtoto kwa masharti hapo hapawezekani hata kidogo
Hii itakuwa masharti ya mganga wa kienyeji
Pole
 
Yani wewe...mi nna hamu ya kupigana we unaniletea ishu za mapenzi?!Njoo nikupe za uso kwanza!

heheehh CPU kaondoka na handbag nini? nilimuona jana anakula chipsi kuku nikajiuliza jamaa tangu lini ameanza kula chipsi kuku?, kumbe ni mtaji wa Lizzy khaaa!
 
heheehh CPU kaondoka na handbag nini? nilimuona jana anakula chipsi kuku nikajiuliza jamaa tangu lini ameanza kula chipsi kuku?, kumbe ni mtaji wa Lizzy khaaa!

Haahhha...si bora angekua anakula nazo chips ningefaidika na nguvu chips!!!Kuna mzee kaniingiza town kwa baiskeli ya mbao!
 
Haahhha...si bora angekua anakula nazo chips ningefaidika na nguvu chips!!!Kuna mzee kaniingiza town kwa baiskeli ya mbao!
khaaa! nazani unajua kwamba mimi ni Lawyer maarufu hapa jijini, nina branch mpaka harare na kinshasa. Haya elezea kwa urefu! tupe na wasifu wa mtuhumiwa kabisa ili tujue saizi ya kitanda chake kule keko.
 
Hahhaa!!
Owkey ni mfupi hivi...meno matatu mbele hamna!!Anapepeseka japo anatumia mkongojo alafu ni mwembamba kuliko mnazi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…