Ok sawa kabisa naamini hata kuto kujibu na kwenyewe ni jibu!!!
mmetoa kashfa kibao bila hata kujua nia ya swali...Hili swali tuliulizwa kanisani wengi walijibu majibu yao na majibu kama yenu yalikuwepo
Nikamuuliza mchungaji nini maana ya majibu hayo? akasema
1)UKICHAGUA JIBU LA KWAMBA UPATE MTOTO MZURI ILA AFE IN 20's inamaana kuwa
-wewe ni muuuaji
-Unapenda rahaa tu bila kupitia majaribu
-u r so selfish,unajifikiria mwenyewe tu
2)UKICHAGUA KUWA UMPATE ALIYE MTUKUTU maana yake ni
-Kwanza si muuaji
-upo tayari kujaribiwa
-unakubaliana na matakwa ya mungu na matakwa yako.
ok, kwa walio sema teenager au sijui jero ya internet cafe,mara nenda skuli dah!! wake up guys
Si lazima kujibu..Ni vizuri kufunga bakuli lako.
thats it!!