Swali kuhusu Nissan Serena

Swali kuhusu Nissan Serena

0704

Member
Joined
Aug 1, 2024
Posts
23
Reaction score
20
Habari ya Sunday

Mimi nimekuwa nikijaribu kutafuta gari kwa ajili yaatumizi ya ngu na napendelea minivans. Nikawa natafuta mtu anayeuza hilp gari bongo ili ninunue. Lakini ñayapata mtandaoni hàya magari yanauzwa bei ndogo sana. Ni kama thamani yake inashuka haraka kuliko mfano Noah na Alphard

Keà wajuzi wa magari. Nissan serena kwañini inashuka thamani hivyo na zina matatizo gañi kwamba watu hawazipendo tena bongo wanàziuza kwa bei ya hasara??
 
Kama unanunua kitu ili after 1-2 years uuze, basi nunua kitu kingine sio gari. Gari sio asset nzuri.

Tukija kwenye minivans, wengi tunavyonunua tunakua na matarajio positive ila minivans (na MPV) zina watu wake, izo sio daily drives, izo zina matumizi maalumu kama family vacations, etc kutumis hii gari mwenyewe kila siku utaona mzigo kwasababu ni kubwa, ulaji wa mafuta lazima utakua mkubwa ila reliability is too general kusemea.

Kwa Nissan Serena, unaongelea ya mwaka 2005-2015 kweli yana shida. Mostly alternator (na inauzwa bei kinoma alternator yake, jaribu kuulizia kwa dealers), overheating, burning oil, gearbox si unajua CVT ya Nissan majanga..

Sio kwamba ni gari bovu, vyote ivyo vinaweza kuepukika ukizingatia preventive maintenance.
 
Nasikia zinaogopwa hata na wezi wa magari! Wakiziuza haziuziki hata wakibomoa wachukue spare wauze hazina wanunuzi
 
Back
Top Bottom