Swali kuhusu selection za vyuo vya afya Diploma

Swali kuhusu selection za vyuo vya afya Diploma

Unataka kozi gani?

Kama CO kwa maksi zako unavigezo ila huwezi kupata Goverment labda ukaanzie private then utahamia Goverment....kozi zinazokufaa kwa maksi zako Nursing,pharmacy pia kuna hizi mbili japo napo ni 50/50 Medical lab na Dentall.Pia kwa sasa sahau kuhusu dirisha la pili maana vyuo karibu vyote vimejaaa n kama wakiruhusu kupata pia ishu,kamauna uwezo focus private then uhame.

Nb;ushauri w bure sasa wewe kaz ubongo ubaki nyumbani
Ooh sawa kaka angu nimekupata
 
Back
Top Bottom