Swali kuhusu simu ya Infinix

Swali kuhusu simu ya Infinix

Biisa

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2019
Posts
513
Reaction score
544
Habari wadau wa humu jukwaani.

Nina swali kuhusu simu ya Infinix. Kuna mdau anatumia simu ya Infinix sina uhakika sana kama ni note 8 au ila ni toleo la zamani kidogo. Aliniambia kwenye Gallery yake kuna Private folder la picha,anadai amesahau Password na akitaka pia kulifuta hawezi.

Sasa naulizia je kuna option ya kuweza kulifungua hali ya kuwa umesahau password ?

Na je akitaka kulifuta anafanyaje ? Naomba majibu ya maswali yote mawili.

Natanguliza shukrani.
 
basi mwambie ajaribu factory reset aanzishe simu upyaa kama itafaa au apeleke kwa wataalam wa software
Okay. Maana yake hamna option ya kulifungua hilo folder ?
 
alipokuwa anajisajili applock aliingiza email au alijibu maswali, aende kwenye forget password ataambiwa aingize email au
ajibu swali alilochagua wakati anajisajili.

kama hakumbuki chochote ajaribu ku recover picha kama zina umuhimu, lakini za kwenye applock ni ngumu kutazipata maana
ina encrypt data.
 
Back
Top Bottom