Swali kuhusu tabia ya kususa, kugomea au kuzira: Je, si tabia za kike, si utoto?

Hata leo huku timu pinzani tuliyotarajia kucheza nayo Mechi ya Nusu fainali imeogopa mechi ikasusa kufika uwanjani na kutufanya twende fainali kiulaini kabisa tukiwa tunapata maji yetu ya uhai huku tumenyoosha miguu yetu.. Safi sana mnaosusia hamnaga kitu kinamupaga Furaha adui yako Kama kususa.. Naomba wapinzani wote muendelee kususa ili Alie Baki naye achukue point tatu Kama tulivyochukua Sisi yan[emoji1241][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Labda mh angeruhusu watu wajiachie kwenye mikutano na lisu angekubari arudi naamini watu wangekuwa wengi tu kwenye kujiandikisha
Ingependeza iwapo hela ya uchuguzi ingeenda kujenga barabara.Hao wenyeviti wangeteuliwa tu na Tamisemi
 
Kwa mara ya kwanza kwenye historia za kimageuzi duniani, kususia inaenda kuwa dawa. Nyie si mlisema mnataka kutawala milele, basi na upinzani wameamua kuwapa mnachotaka kwa kususia chaguzi hewa, sasa vilio vya nini tena
 
"Those who make peaceful evolution impossible,will make violent revolution inevitable."

Watz bado wapo kwenye peaceful evolution,ila sasa mfumo unawazuia kuevolve,na wao bado hawajawaza what to do next,akili zao zinaenda mdogo mdogo,ndio unashuhudia haya.
Wewe mwenzetu tayari akili yako ilishakwenda dk5 mbele,nadhani sababu ya exposure,upo kwenye violent revolution tayari,hebu tusubirie huko tunakuja,labda wanaotupeleka huko waghairi na kuanza kuruhusu evolution tena,tutarudi nyuma ila we inaonekana utarudi wa mwisho,kazi wanayo na wewe!msukuma una matatizo sana wewe!Lione!
 
Vitu vingine ni kama basi la abiria, usiopanda wewe, mwenzio anapanda, na pia ni kama kiti cha basi unaposhuka, anakaa mwenzio.

Wale mnao susa, suseni, ila tambueni ukisusa, wenzio twala..
P
Objectivity;
*why there is election, if in end winners are known,
*Registering and casting voter, how will it count..

Mfano, wenyeviti wa s/mitaa/vitongoji lazima watapatika obviously kutoka chama A, sasa basi kunatofauti yeyote, if few register and vote it all the same as many register and vote. Non lose
 
With due respect ...what has come after you????, in good faith
 
Paskali, Inawezekana kabisa hizi kero tunazozionz sisi wewe mwenzetu huzioni, nakumbuka mwaka 2002 kunapicha iliwahi kuwekwa kwenye gazeti moja ikimuoyesha aliyekuwa rais wa zanzibar Salmin Amour akiwa ameshika bainocra akisema, nasikia kuna mgogoro zanzibar mbona mimi siuoni ?, ni kweli kwamba yeye alikuwa haoni ule mgogoro baina ya cuf na ccm
 
Leo tarehe 15 / 10 / 2019 Pascal Mayala ameweka chapisho lake kwenye JF of GT likisema tabia ya kususa ni ya kike na kitoto! Mayala anawaona wanawake kuwa siku zote tabia zao hazikuwi zinabakia kama za watoto! Mimi binafsi ninamuona Paskali Mayala kama ni mtu aliyeshiba sasa anaanza kutukana hovyo. Wanawake ukumbi ni wenu mkubaliane na mawazo yake dhidi yenu ya kitoto au mkatae na mumsuse, karibuni.
 
Hivi wapinzani ni kina nani hasa wanaopaswa kupigania demokrasia?Hivi isipokuwepo kwa mfano ,wanaoumia au kuathirika ni hao wapinzani?
Ni nani hasa anayepaswa kupigania demokrasia?Maana hata sasa ipo lakini tunatawaliwa vivyo hivyo,hata isipokuwepo tutatawaliwa kama kawaida.Labda wenye njaa ya madaraka waendelee na harakati na kubuni mbinu Mpya ili wayapate.
Ila mi najua lengo la kupigania demokrasia,ni kuwapa nguvu ya kuamua walio wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…