Swali kuhusu Tawhid na Ufunuo

Swali kuhusu Tawhid na Ufunuo

Bullshit

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
1,357
Reaction score
1,596
1. Ikiwa Mungu ni mmoja na hana mfano, kwa nini Qur'an inatumia wingi wa "Sisi" katika baadhi ya aya zake? (mfano, Qur'an 15:9).

2.Qur'an inasema kwamba ni mwongozo kamili (Qur'an 16:89). Kwa nini kuna haja ya Hadith kuelezea baadhi ya maelezo ya dini?

Asante
 
Waislamu wakikuelezea concept ya Tawhid utabaki unacheka tu,maana watajing'ata ng'ata hapo mpaka utawaonea huruma.Shahada inasema Allah ni mmoja na hana mshirika na Allah mwenyewe aya kadhaa anasema yeye ni mmoja ..swali ni je kwa nini aya kadhaa anatumia wingi.Wanazuoni wakakaa wakaja na hiki kichekesho kwamba kutumia wingi ni ishara ya kujitukuza(How?).Unawezaje kujitukuza kwa concept ambayo unaipiga vita ??kwa nini asijitukuze kwa umoja badala yake anajitukuza kwa wingi ambao yeye mwenyewe anaupinga?? au Allah nae anapenda Trinity ila anaona akikubali tu uislamu utakuwa umekufa?
 
1. Ikiwa Mungu ni mmoja na hana mfano, kwa nini Qur'an inatumia wingi wa "Sisi" katika baadhi ya aya zake? (mfano, Qur'an 15:9).

2.Qur'an inasema kwamba ni mwongozo kamili (Qur'an 16:89). Kwa nini kuna haja ya Hadith kuelezea baadhi ya maelezo ya dini?

Asante
Na hapo kwenye hadith napo kunakichekesho..aya zinazowafavour wanazikubali ,ila kukiwa na aya zinazowaumbua wanakwambia neno la Allah lipo kwenye quran tu halipo kwenye hadith.
 
Na hapo kwenye hadith napo kunakichekesho..aya zinazowafavour wanazikubali ,ila kukiwa na aya zinazowaumbua wanakwambia neno la Allah lipo kwenye quran tu halipo kwenye hadith.
Hiyo kweli
 
Back
Top Bottom