Na hapo kwenye hadith napo kunakichekesho..aya zinazowafavour wanazikubali ,ila kukiwa na aya zinazowaumbua wanakwambia neno la Allah lipo kwenye quran tu halipo kwenye hadith.1. Ikiwa Mungu ni mmoja na hana mfano, kwa nini Qur'an inatumia wingi wa "Sisi" katika baadhi ya aya zake? (mfano, Qur'an 15:9).
2.Qur'an inasema kwamba ni mwongozo kamili (Qur'an 16:89). Kwa nini kuna haja ya Hadith kuelezea baadhi ya maelezo ya dini?
Asante