Swali kuhusu upatikanaji wa Viagra

Swali kuhusu upatikanaji wa Viagra

rightstrict

Senior Member
Joined
Aug 25, 2014
Posts
100
Reaction score
15
Nauliza, Dawa hii inayotumika kutibu Erectile dysfunction (Viagra/ Sildenafil) inauzwaje katika pharmacy zetu na prescription yake inakuaje?

Naomba mwenye kujua anifahamishe..Nina shida nazo.
 
Changanya Panadol na konyagi.. utampiga ata magoli 10
 
Mkuu,
Huna haja ya kwenda kutafuta makitu hayo. Tuliza mawazo, halaf mvutie ndani. Kama amekusumbua sana, kumpiga magoli 10 sio kik hiyo. Ni kujiua mwanamme. Kutoa kik moja tu ni sawa sawa na kukimbia mbio za km 5. Huo ndo ukweli. Sasa, unapotumia makitu ati unataka kumkomesha, unajikomesha weye. Kik 10 inamaana umekimbia bila kuchoka km 50. Hata kina Keino wa Kenya hawajawahi kimbia mbio hizo kwa siku moja. Ndo maana wengi hufia hapo
 
Chonde chonde..kama wewe ni hypotensive usitumie hiyo kitu.Utakufa
 
pole kaka kwa tatizo linalokusumbua,ni vyema ukaonana na daktari kwani kuna vyanzo vingi sana vya tatizo hilo vikiwemo vya kibiolojia na kisaikolojia,hii itakuwezesha kupata tiba muafaka na ya kudumu.
 
Back
Top Bottom