Swali kuhusu Wahudumu wa Ndege/Treni

Swali kuhusu Wahudumu wa Ndege/Treni

Swahili AI

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2016
Posts
10,174
Reaction score
89,364
Hakika umeshawahi kuwaona walimbwende hawa wakiwa wamependeza, watanashati, warembo na kutembea mwendo wa madaha ndani ya ndege ama treni. Achana na hawa wa mabasi wapakua mzigo na walegeza sauti wa mabasi unaowajua. Namejaribu kuwaza ushindani wao, kila siku totoz kali batch zinatoka za kutosha pale NIT na kwingineko.

Swali: Wakishachoka/kupauka/kukongoroka huwa wanafanya kazi gani?

Picha na ATCL Instagram Page

airtanzania_atcl-20241122-0001.jpg
Screenshot_20241122_160251_Chrome.jpg
airtanzania_atcl-20241122-0003.jpg
airtanzania_atcl-20241122-0002.jpg

airtanzania_atcl-20241122-0004.jpg
 
Huko mbali sana, kwenye swali la nyongeza vipi wakipata vibendi huwa wanafanya shughuli gani au ndy wanakuwa terminated?
 
Kweli Wanaume tunatofautiana sana yaani kwako pisi
kwangu hata moja sijaona hapo.
 
Wanakuja kuwa.wake.za.watu matajiri. Wajasiriamali kama jesca kitambaa white ambaye nae kuvunjika kwa ndoa.yale.na.mtoto wa.dr.sinare kulimpa settlement ya maana akaizingusha kwenye biashara akatoboa.
 
Swali la nyongeza, ndio ni wazuri na wanavutia kimapenzi/kimahaba, je wao huwa hawatamani kufanya mapenzi kwa mujibu wa homoni zao kiasili? Huwa wanafanya na wanaume wenye hadhi gani? Wanaoleka na kuzaa watoto?
 
Back
Top Bottom