Swali: Kuna umuhimu gani wajumbe wa CCM kupiga kura kuchagua wagombea?

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,748
Reaction score
18,096
Inakuaje walioshinda Kwa Kura za wajumbe wamekatwa halafu wamepitishwa wale ambao hawakupitishwa na wajumbe??

Nguvu ya wajumbe haithaminiwi au hawana umuhimu?

 
Ijapokuwa Mimi sio fisiemu lakini kukatwa Ummy mwalimu kumenipa majonzi sana
 
Tokea lini ccm wakaheshimu maamuzi ya kura?
If voting would change anything, they wouldn't allow us to vote.
 
Kuna neno pale kwenye mabadiliko ya katiba ya CCM yanasema 'kamati kuu itakavyoona',hapo ndipo wengi walipochinjiwa baharini!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…