Savage Dad
JF-Expert Member
- Jul 10, 2018
- 1,388
- 2,611
Utafanya vyema sana.Ngoja nije kukusabahi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapana. Ila kuna MTU nataka kumpa
Karibu tu inaweza ikawa vyema kua mtu wa kwanza kumeet wa JF.Sawaaa. Niko njiani nakuja huko
Hapana. Ila kuna MTU nataka kumpa
Naonaga watu kadhaa huku wanasema au kushangaa Kama watu tunajuana na wengine nje ya humu. Lakini unakuta Kati ya hao wanaoshangaa wanakesha pm au umeshaonana nao mtaani lakini wakiwa huku wanajifanya na wao wageni.
Je ni kitu kibaya kujuana na watu nje ya hapa?
Kama sio kitu kibaya kwanini watu hupenda kuruka kimanga kuhusu kwenda pm au kuwasiliana na watu nje ya hapa?
Kuna muda najiuliza sasa hata nanihii anasema haendagi pm Kwa MTU wala hajawahi onana na MTU Ina maana yule niliekutana nae mwenye ID fulani sie au kitu gani
Hilo jibu limenifurahisha.Nini sasa??
Kwaiyo tuanze kunoa mashine ?Hapana. Ila kuna MTU nataka kumpa
We unajua nimempa nani sasa? Maana mi simjui niliempa
Unataka kuutafuta ukweli ndani ya JF?Tunayaacha sawa ila kwanini useme hujawahi kwenda pm kabisa?