Swali: Kutokwenda PM na kutojuana na watu nje ya JF ni ufahari?

Swali: Kutokwenda PM na kutojuana na watu nje ya JF ni ufahari?

Wewe Unasema. Kuna MTU kaja pm Leo sema mrembo.. Kwanza nikacheka. Unamuita MTU mrembo hata humjui ukikuta ni dume mwenzio jer

Kweli ni mimi nasema,huyo mwambie kama ana mafuta ya baby johnson uje umkune tu hamna namna tena.
 
Naonaga watu kadhaa huku wanasema au kushangaa Kama watu tunajuana na wengine nje ya humu. Lakini unakuta Kati ya hao wanaoshangaa wanakesha pm au umeshaonana nao mtaani lakini wakiwa huku wanajifanya na wao wageni.

Je ni kitu kibaya kujuana na watu nje ya hapa?
Kama sio kitu kibaya kwanini watu hupenda kuruka kimanga kuhusu kwenda pm au kuwasiliana na watu nje ya hapa?
Kuna muda najiuliza sasa hata nanihii anasema haendagi pm Kwa MTU wala hajawahi onana na MTU Ina maana yule niliekutana nae mwenye ID fulani sie au kitu gani
Ujinga tu.... Kwanza kunafaida nyingi sana za kujuana ana kwa ana na mitandao ya kijamii ipo ili watu wajamiiane na ndio kutengeneza udugu.

Juzi kati nikashangaa raia kuwa wanaongea fyongo baada ya NAHUJA kuleta report ya Mentor na kusema wanafahamiana nje ya hapa.... Vidume vingine vikaanza kutoa shit ila ni wivu tu labda wa kutaka vyenyewe ndio vijuane nae nje ya hapa.

Kwani hii mitandao ilianzishwa kwa madhumuni gani? Kufahamiana pia ni dhumuni moja wapo
 
Mim nawafuata watu wachache sana wenyewe ushawishi, wengne nawaogopa tu
 
mimi nakazia tu hata nanihii anasema haendagi pm Kwa MTU wala hajawahi onana na MTU Ina maana yule niliekutana nae mwenye ID
 
Back
Top Bottom