Swali: Kutokwenda PM na kutojuana na watu nje ya JF ni ufahari?

Swali: Kutokwenda PM na kutojuana na watu nje ya JF ni ufahari?

Hao mbona tulishawasanukia siku nyingi wanajifanya hawaendi pm ili nasi tusiende watuwahi kwenye kuchat na michuchu.
 
Daah Kuna Mmoja Anajishaua Sana Huko Pm Kwa Anayonifanyia Hata Kunibip Hataki Sijui Anawaza Nitamla
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23]
 
Mi sijuagi hata hiyo PM ni nini nasikiaga "njoo PM, nakuja PM" NDO WAPI HUKO PM???
 
Mbona hamna jema, mnasema kujuana na mtu si vibaya wala kwenda pm si vibaya.

Haya mtu kaja na kakusalimia "sema mrwmbo" tena unashangaa na kuanza kucheka eti anakuitaje mreto hata hakujui sasa si ndo mwanzo wa kujuana.
Eti vp akiwa dume mwenzio, ndio maana hujawa dume mwenzake ungemjibu tu mbona usingepungukiwa.

Wazigua hatuna jema
Wewe Unasema. Kuna MTU kaja pm Leo sema mrembo.. Kwanza nikacheka. Unamuita MTU mrembo hata humjui ukikuta ni dume mwenzio jer
 
Back
Top Bottom