Mimi ni mvulana nina miaka 27. Kwa umri huu nilionao nimisha lamba wasichana sita hadi sasa,cha ajabu kati ya hao hakuna alienitongoza hata mmoja ilikuwa ni kiherehere changu changu ndo maaana kuwaaacha haikuwa shida! Je inamaana akina dada hamjui kupenda mpaka msubiri mpendwe? Mkisha pendwa ndo mnaleta taaabu nyiiingi na kuonyesha kuwa ninyi ndo mnapenda zaidi ya hata aliekuambia kuwa anakupenda? na kama kweli mnakuwa na upendo wa dhati kwa nini basi macho yetu yote yanaangalia mifukoni mwetu? Nawakilisha maana nimechoka kupenda nasubili kupendwa!!!!!!!!!!!
Sugarcake ndio nini sasa hebu njoo huku nimekuletea kitenge cha waxUmesha lamba??? Hivi kwa nini nyie guys hutumia lugha ya dharau kiasi jamani?? Kwa haya maneno uloandika hapa, una haki ya kupata wengine 6 wapiga mizinga!
Mwanamke hatongozi bali hutongozwa,na kama wanawake hao uuliokuwa nao walikuwa wanaangalia mfukoni mwako basi ujue wakati unawatongoza ulitumia nguvu nyingi za pesa kuwapata na wao walikuwa wanamaintain status tu.
Kuwa makini na maisha yako na tulia na mwenzi mmoja.
We ukija kwa gia ya viela vyako vinakombwa kwelikweli hakuna huruma kwenye ilo. Pili itakuwa ngumu kwako kupendwa coz we mwenyewe unatakaga upendewe viela vyako.
Sugarcake ndio nini sasa hebu njoo huku nimekuletea kitenge cha wax
Utaipenda utaipenda.....I know you gonna like itSitongozeki ng'o!
Utaipenda utaipenda.....I know you gonna like it
Nakupa pole sn,ila kupendwa au kutapeliwa kwa kugeuzwa ATM inategemea ww unamwingiaje bint coz huwa tunawaangalia kutokana na aina ya mwanaume tunayekuwa tunamuhitaji maishan,so km umekuja kwa style ya kujiadvitize na kujifanya hela yako ndio inamwaga mistari ambao wengi wenu mnakuwa malimbuken na hamna mapenz ya kweli utapokelewa kwa koras ya kuonyeshwa matumizi na utatumiwa kweli na ukifulia unatoswa vilevile,na ukija kiuanaume kwa sera zinazoeleweka na uonyesha kupenda kweli kwa nn usipendwe,jipange kijana ukisubiri kupendwa utasubiri sn!