Jakubumba
JF-Expert Member
- Mar 5, 2011
- 1,624
- 501
Mimi ni mvulana nina miaka 27. Kwa umri huu nilionao nimisha lamba wasichana sita hadi sasa,cha ajabu kati ya hao hakuna alienitongoza hata mmoja ilikuwa ni kiherehere changu changu ndo maaana kuwaaacha haikuwa shida! Je inamaana akina dada hamjui kupenda mpaka msubiri mpendwe? Mkisha pendwa ndo mnaleta taaabu nyiiingi na kuonyesha kuwa ninyi ndo mnapenda zaidi ya hata aliekuambia kuwa anakupenda? na kama kweli mnakuwa na upendo wa dhati kwa nini basi macho yetu yote yanaangalia mifukoni mwetu? Nawakilisha maana nimechoka kupenda nasubili kupendwa!!!!!!!!!!!