Nasikia tarehe 07 mwezi wa 9 wanatoa majina
mmmh.. Hiyo tar.7 mwuce tunaripoti sijui hapo sasa wengne tutafanyaje!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia tarehe 07 mwezi wa 9 wanatoa majina
Ikiwa baadhi ya vyuo wanawahi kufungua vyuo kabla hamjawasilisha mikopo ama dhamana za kuwalipia walengwa na ikiwa baadhi ya vyuo hawakusajili mpaka uwe umelipa ada yao,na ikiwa lengo la bodi ni kuwasaidia wale ambao hawana uwezo wa kujisomesha wenyewe,je bodi ina mpango gani kwa hili,ama ni njia gani zitamsaidia kijana huyu ambae wazazi wake wanaishi chini ya dola moja kwa siku?
we unajua wanatoa lini wakitoa leo
Usajili kwa vyuo vilivyo chini ya SAUT kama umeomba mkopo unatakiwa uwe na 40% ya ada pesa ya admission kama vile mtihani 130000/=,serikali ya wanafunzi elfu 3,kitambulisho elfu kumi jumla kama laki 6 na nusu sasa mtoto wa mkulima ataitoa wapi hiyo.