swali kwa bodi ya mkopo

Usajili kwa vyuo vilivyo chini ya SAUT kama umeomba mkopo unatakiwa uwe na 40% ya ada pesa ya admission kama vile mtihani 130000/=,serikali ya wanafunzi elfu 3,kitambulisho elfu kumi jumla kama laki 6 na nusu sasa mtoto wa mkulima ataitoa wapi hiyo.
 
we unajua wanatoa lini wakitoa leo
 
Usajili kwa vyuo vilivyo chini ya SAUT kama umeomba mkopo unatakiwa uwe na 40% ya ada pesa ya admission kama vile mtihani 130000/=,serikali ya wanafunzi elfu 3,kitambulisho elfu kumi jumla kama laki 6 na nusu sasa mtoto wa mkulima ataitoa wapi hiyo.

na hapo umepunguza maana joining inaonesha uende na 773000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…