Swali kwa Business Adminstrator, Finance Managers, Consultants, Accountants, Economist,

Silicon Valley

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2012
Posts
1,092
Reaction score
1,118
SWALI KWA BUSINESS ADMINSTRATOR, FINANCE MANAGERS, CONSULTANTS, ACCOUNTANTS, ECONOMIST,
Kampuni inafanya biashara ya trading(kuuza na kununua) iko kariakoo,
mapato yake as per accounts ni 18% return on investments (ROI)
Working Capital about Tshs 450 million. Turnover Tshs 2,000 million(2 bln)
Inflation (Industrial) range 12% to 20% within 5yrs- make lt 16%.
Kampuni imeamua kupanua biashara aidha kwa kuongeza Mtaji toka kwa Financiers
RIBA au gharama za mtaji huo sokoni(bankers, non equity investors ) ni 18% to 25%
Wanaomba ushauri wenu kufanya maamuzi kwani soko halina shida kwa return zilizopo.

wakope ? au wafanye nini ? je biashara hiyo inakuwa ? kama inakuwa kwa kiasi gani ?
 
wakope ndio nzuri zaidi kwani itawasaidia kwenye kulipa kodi kwani itakuwa na afuani kidogo..
 
duh hapa nimetoka kapa aisee, kwanza mada na swali sijalielewa.

Apology for my ignorance but I think the language used here reads and appear technical/professional lakini ningependa 'mwenye huruma' atudadavulie sie wengine ambao hatukuwahi kusoma japo commerce na booking ya form 1 & 2 ili tufaidi mada zote. Mfano mi sielewi kampuni inakuwa na capital ya 450mil yet turnover yake inakuwa over 2bil, how is it posiible? Nikiri hizi lugha zina ufahamu nazo
 
SWALI KWA BUSINESS ADMINSTRATOR, FINANCE MANAGERS, CONSULTANTS, ACCOUNTANTS, ECONOMIST,
Kampuni inafanya biashara ya trading(kuuza na kununua) iko kariakoo,
mapato yake as per accounts ni 18% return on investments (ROI)
Working Capital about Tshs 450 million. Turnover Tshs 2,000 million(2 bln)
Inflation (Industrial) range 12% to 20% within 5yrs- make lt 16%.
Kampuni imeamua kupanua biashara aidha kwa kuongeza Mtaji toka kwa Financiers
RIBA au gharama za mtaji huo sokoni(bankers, non equity investors ) ni 18% to 25%
Wanaomba ushauri wenu kufanya maamuzi kwani soko halina shida kwa return zilizopo.

wakope ? au wafanye nini ? je biashara hiyo inakuwa ?

According to Modigliani Miller, the favaourable capital structure is More Debt compared to Equity. He further argues that Debt is cheap with higer returns.

Mimi nabishana na Miller kwa mazingira ya kibongo Debt is very costly. Interest rate ni balaaa, Exchange rate ndo usiseme. Cost ya hedging pia ni nomaaaaaaa! Waongeze equity tu ya odinary share holders! Afterall bongo kampuni chache zinalipa dividend.

Ila kiuhalisia inabidi Ucalculate Weighted average cost of capital ndo utajua atumie debt kiasi gani na equity kiasi gani! Na hizo future returns uzicalclatie NPV ya cashflows zake. Its a very longtime since i did this shit! Since 2010!
 
Hahahaaaaaaa! Inawezekana Assume wao ni service providers hawahitaji assets nyingi wala hawana mechandise/invetory. So assume sales zake ni 800Mills afu ana Assets chini ya 10 unazani turnover itakuwaje? MJINI HAPA!!!!!!!!!1 Chezeya Dressin and Cooking of FS? Wapi wawekezaji wa NICO????????
 
duh hapa nimetoka kapa aisee, kwanza mada na swali sijalielewa.

Apology for my ignorance but I think the language used here reads and appear technical/professional lakini ningependa 'mwenye huruma' atudadavulie sie wengine ambao hatukuwahi kusoma japo commerce na booking ya form 1 & 2 ili tufaidi mada zote. Mfano mi sielewi kampuni inakuwa na capital ya 450mil yet turnover yake inakuwa over 2bil, how is it posiible? Nikiri hizi lugha zina ufahamu nazo

Nimecheka sana mkuu yaani umelalamika mpaka nakuonea huruma. By the way hata wengine tulioishia advance na uchumi wetu na kuspecialize katika fani nyingine kwenye degree programes mbona inaitaji extra knowledge ili kumshauri jamaa.
 
SWALI KWA BUSINESS ADMINSTRATOR, FINANCE MANAGERS, CONSULTANTS, ACCOUNTANTS, ECONOMIST,
Kampuni inafanya biashara ya trading(kuuza na kununua) iko kariakoo,
mapato yake as per accounts ni 18% return on investments (ROI)
Working Capital about Tshs 450 million. Turnover Tshs 2,000 million(2 bln)
Inflation (Industrial) range 12% to 20% within 5yrs- make lt 16%.
Kampuni imeamua kupanua biashara aidha kwa kuongeza Mtaji toka kwa Financiers
RIBA au gharama za mtaji huo sokoni(bankers, non equity investors ) ni 18% to 25%
Wanaomba ushauri wenu kufanya maamuzi kwani soko halina shida kwa return zilizopo.

wakope ? au wafanye nini ? je biashara hiyo inakuwa ?

Mkuu hebu tunadadavulie kidogo hapa yaani compony ina working capital/running capital 450mil na turnover ni 2bil manake kuna balance ya capital iko pending not in circulation? Sasa kama ndivyo wanataka kukopa nini tena?
 
On normal basis kama ataendelea kupata hiyo 18% ROI under raisind inflation halafu debt servicing interest ni 25 % kama àtakopa pesa nyingi kuliko mtaji wao halisi itakula kwao since return zao zote zitatumika kulipa madeni na riba
 
Mkuu hao jamaa kwa biashara yao hiyo (yenye revenue kubwa hivyo) bado wanafanya mambo ya kubahatisha? Taking loans is the only way of expanding business na hasa for medium and large companies. Kwa ajili ya ushauri wa kibiashara na mikopo niPM ili tufanye kazi ya kuwashauri hao jamaa! Its just a simple analysis, cant show it here because i dont have the numbers.

Unajua ni kwanini banks zinahitaji business plan pale unapotaka mkopo kwa kampuni? Hiyo ndiyo njia pekee ya kuweza kujua kama mkopo utasaidia au la. Hata banks hazitaki kupata hasara kwa kutoa mikopo hovyo hovyo.
 
Hayo Maelezo yame Miss Corporate Tax rate ili uweze Ku compare advantage ya Tax Avoidance kwa kutumia degree of Leverage,Weka rate za Kodi tu compare with Rate of Interest on Credit facility ili Upembuzi uwe Rahisi!
 
wakope ndio nzuri zaidi kwani itawasaidia kwenye kulipa kodi kwani itakuwa na afuani kidogo..

Shukran kodi sio tatizo kabisa kwani kulipa kodi ni baada ya kupata faida na kwa uwiano sawiya coporate tax 30%, kwa uzoefu income tax sio tishio kabisa tz TATIZO KUBWA ni VAT na taratibu zake zote kwani mfumo wa kiuchumi Tz HAU-SUPORT KABISA. Practically Income tax yaweza kuwa only 15% to 20% tu ya kodi zote(income + VAT)
 
Hayo Maelezo yame Miss Corporate Tax rate ili uweze Ku compare advantage ya Tax Avoidance kwa kutumia degree of Leverage,Weka rate za Kodi tu compare with Rate of Interest on Credit facility ili Upembuzi uwe Rahisi!

Kama kawaida Tz corporate tax 30%,,,,Shukran kodi sio tatizo kabisa kwani kulipa kodi ni baada ya kupata faida na kwa uwiano sawiya coporate tax 30%, kwa uzoefu income tax sio tishio kabisa tz TATIZO KUBWA ni VAT na taratibu zake zote kwani mfumo wa kiuchumi Tz HAU-SUPORT KABISA. Practically Income tax yaweza kuwa only 15% to 20% tu ya kodi zote(income + VAT),,,, lengo ni kujua kama wanakuwa ? au watakuwa baada ya kukopa labda 300 mln ? na kwa kiasi gani ?
 
Mkuu hao jamaa kwa biashara yao hiyo (yenye revenue kubwa hivyo) bado wanafanya mambo ya kubahatisha? Taking loans is the only way of expanding business na hasa for medium and large companies. Kwa ajili ya ushauri wa kibiashara na mikopo niPM ili tufanye kazi ya kuwashauri hao jamaa! Its just a simple analysis, cant show it here because i dont have the numbers.

Unajua ni kwanini banks zinahitaji business plan pale unapotaka mkopo kwa kampuni? Hiyo ndiyo njia pekee ya kuweza kujua kama mkopo utasaidia au la. Hata banks hazitaki kupata hasara kwa kutoa mikopo hovyo hovyo.

Nashukuru sana mkuu kwa ushauri wako, naomba ufafanue zaidi kdg ku-justfy kuwa loan pekee ndio expansion means ukizingatia mazingira hayo ya hiyo INFLATION, RETURN 18% na COST OF CAPITAL 25%, The company Objective is to raise income not only by rate with efficiency(hata kama rate haitabadilika basi mapato by amount yapande)

ILI ASUBUHI NIGONGE MLANGONI KWAKO MKUU
 
On normal basis kama ataendelea kupata hiyo 18% ROI under raisind inflation halafu debt servicing interest ni 25 % kama àtakopa pesa nyingi kuliko mtaji wao halisi itakula kwao since return zao zote zitatumika kulipa madeni na riba

Asante mkuu nimekuelewa tukikopa 300 mln unadhani kwa uwelewa wako nini chaweza tokea ? ok naomba ushauri wako ulio bora tafadhali, kwani lengo ni kuongeza mapato ya kampuni..
 
According to Modigliani Miller, the favaourable capital structure is More Debt compared to Equity. He further argues that Debt is cheap with higer returns.

Mimi nabishana na Miller kwa mazingira ya kibongo Debt is very costly. Interest rate ni balaaa, Exchange rate ndo usiseme. Cost ya hedging pia ni nomaaaaaaa! Waongeze equity tu ya odinary share holders! Afterall bongo kampuni chache zinalipa dividend.

Ila kiuhalisia inabidi Ucalculate Weighted average cost of capital ndo utajua atumie debt kiasi gani na equity kiasi gani! Na hizo future returns uzicalclatie NPV ya cashflows zake. Its a very longtime since i did this shit! Since 2010!

Shukran dada yangu ni kweli umesoma HASSWAAA tena nadhani umesoma Finance, naomba uendelee kunishauri unajua tena kampuni zetu za ki-tz wewe na family yako na hata jina la kampuni ni la kifamily xxxx investments ltd, Pleasa lara 1 How can we source equity finance ? ukizingatia return yenyewe ? hiyo inflation ?Competition kali sn, pili - kama lengo ni kuongeza kipato(earning or return per share) Je unadhani tutafaulu ?
 
Mkuu hebu tunadadavulie kidogo hapa yaani compony ina working capital/running capital 450mil na turnover ni 2bil manake kuna balance ya capital iko pending not in circulation? Sasa kama ndivyo wanataka kukopa nini tena?

Mtaji ni 450, turnover lugha nyingine ni Revenue au Sales (mauzo yako kwa mwaka), kwa maana hiyo mzunguko wake kwa mwaka ni sawa 2,000,000,000 gawa kwa 450,0000,000 ni sawa na kusema mtaji unazunguka mara 4.5 kwa mwaka.
 
duh hapa nimetoka kapa aisee, kwanza mada na swali sijalielewa.

Apology for my ignorance but I think the language used here reads and appear technical/professional lakini ningependa 'mwenye huruma' atudadavulie sie wengine ambao hatukuwahi kusoma japo commerce na booking ya form 1 & 2 ili tufaidi mada zote. Mfano mi sielewi kampuni inakuwa na capital ya 450mil yet turnover yake inakuwa over 2bil, how is it posiible? Nikiri hizi lugha zina ufahamu nazo

Pole sana, Mtaji ni 450, turnover lugha nyingine ni Revenue au Sales (mauzo yako kwa mwaka), kwa maana hiyo mzunguko wake kwa mwaka ni sawa 2,000,000,000 gawa kwa 450,0000,000 ni sawa na kusema mtaji unazunguka mara 4.5 kwa mwaka.
 
Hebu kaa chini muweze kuandaa Income Statement na Statement of Financial Position then mjue kama mnatengeneza faida na kama mkicompare na previous year biashara inakuwa au inarudi nyumaaa

Mkipata Net Profit ni shilingi ngapi per year na Asset na Liability zikoje mnaweza kujua mkakope au muuze hisa au mu-invest wapi

@PJN
MBA Finance Student
 
Mtaji ni 450, turnover lugha nyingine ni Revenue au Sales (mauzo yako kwa mwaka), kwa maana hiyo mzunguko wake kwa mwaka ni sawa 2,000,000,000 gawa kwa 450,0000,000 ni sawa na kusema mtaji unazunguka mara 4.5 kwa mwaka.

Nimekunyaka mkuu.
 
Back
Top Bottom