Swali kwa Chuo cha Uhasibu Arusha

Swali kwa Chuo cha Uhasibu Arusha

uttoh2002

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Posts
17,060
Reaction score
32,400
Hongereni kwa ujenzi wa Hostel, frames na majengo mengine mengi yanayoonekana karibu na fence mnayoendelea nayo.

Swali langu:

Kama zege ya 4 by 15 ( Estimate) mlishindwa isimamia, baada ya kujenga ikaporomoka kabla ya kukauka, mpaka mkahamisha gate kwa muda.

Hii ni aibu Kubwa sana kwa mifumo ya kiungozi ya chuo, Je mnatuhakikishiaje katika magorofa yote mnayojenga mmekuwa na usimamizi mzuri?

Aibu kubwa sana hii kwa management kushindwa kusimamia, sijui zile mlizokuwa mnatudundisha zilikuwa na maana gani.
 
Back
Top Bottom