Nilichojifunza kuhusu sera za elimu ya juu ni moja,,,,kwamba muda wowote waziri mwenye dhamana au kiongoz anaweza badili sera na hakuna wa kumuuliza,nasema hivi kwa sababu tangu mwaka 2005 hadi sasa suala la elimu ya juu linachezewa tuuu,wametoa mikopo toka wizarani wakaiweka kwa bodi ya mikopo,wakaja na sera ya 40%,nadhan weeengi mnakumbuka,mara wakaja na gredi mwaka 2007-8,ambapo hazikua fair,lakini mwaka jana tumeona wanakuja na kuomba online,wakat tatizo la grade halijafumbuliwa,kwa hiyo suala la msimamo na uthabiti wa heslb na sera ya elimu ya juu ni KIGEUGEU-STYLE;nakumbuka mwaka 2010 watu wa sayansi walipewa 100% baada ya mgomo wa 2009 wa zaidi ya vyuo vikuu 5,tusubiri tena maandamano mengine,nadhan migogoro itaibuka,ila cha kusikitisha vijana wengi wa kitanzania watakosa ELIMU ya juu,hata kama wewe ulisoma una-nafas ya kulipigia kelele hili ili wengine wasome