MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Kumbe ndo ilikuwa gear??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa maisha ya sasa swaga za wifi kafanyaje sjui wifi mchapakaz sjui ninin hayana nafasi
we waish mbali na familia wif atakujaje?
we wais ar wazaz wapo dar wif klaolewa mbeya aya mambo yatakujaje?
au ata sivo ivo issue zmebadirika sana mambo ya kufatilina yamepungua sana
km we ndo wifi achana na mabo za kufatilia kaka yuko nanan wanaish vip
km we ndo unaenda kuolewa basi mwombe mme wako muhame apo hm km waish nyumba moja na wazaz wake na ndg wengne muende mbali mkapange k
siku hizi hawatoi manundu nasíkia wanakupaka upupu,kazi kwako kujikuna.
HIYO ZAMANI, SIKU HIZI UNALIWA TIGO HUKU SHOOTING KAMERA NA PICHA MNATO ZINAENDELEA.:smile-big::smile-big:
Haya ngoja niombe rukhsa nikipewa utaniona ili uningate vizuri,ukiona kimyaa ujuwe kishanuka
Ati......,unataka kufanya nini?
Ati......,unataka kufanya nini?
kwa maisha ya sasa swaga za wifi kafanyaje sjui wifi mchapakaz sjui ninin hayana nafasi
we waish mbali na familia wif atakujaje?
We wais ar wazaz wapo dar wif klaolewa mbeya aya mambo yatakujaje?
Au ata sivo ivo issue zmebadirika sana mambo ya kufatilina yamepungua sana
km we ndo wifi achana na mabo za kufatilia kaka yuko nanan wanaish vip
km we ndo unaenda kuolewa basi mwombe mme wako muhame apo hm km waish nyumba moja na wazaz wake na ndg wengne muende mbali mkapange kuepusha uchunguz na ugwadu km u
Majibu
1. Inategemea na rafiki, tuna marafiki wa dizaini nyingi. Kuna wengine naona kabisa hawezi kuendana na kaka yangu ila mimi na yeye tunapatana
2. Huwa nafikiri msichana yoyote mzuri wa tabia na umbo aolewe na kaka yangu ila sifikishi ujumbe kwasababu suala la nani amuoe nani ni uamuzi wa mtu binafsi hivyo sio vizuri kuingilia.
3. Swali la 3 gumu kwa sababu bado sijatambulishwa wifi ila nikitambulishwa nikamuona ni mtu mwenye nyodo, mashauzi, pozi nyingi, nidhamu zero, uchangamfu f, kavivuvivu, kachafu lazima nitamponda.

Nipe kaka yako rafiki yako sasa naona unaweza nisaidia maana.....
kukusaidia nini?
Ungejua wanaume ni waoga kusema, kama nini mlivyo waoga kutwambia??. lakini naamini kama dada zetu mngetushauri kwa ufasaha naamini tungepata wenza wazuri zaidi. Tatizo linakuja si wote wanao weza kukushauri vizuri, na ikitokea kosa kama hilo ni balaa maana huo ni mzigo wako na si wa dada mtu. Lakini bado dada zetu mnaweza sema yaliyo moyoni mwenu kutushauri. Umenifurahisha sana poit ya hapo juu.
mapenzi hayana ushauri kaka yangu. Unajua suala la kupenda kama hisia ni wewe mwenyewe ndio unatakiwa uweze kuzihandle.
Uzuri wa mpenzi wako obviouse unaujua mwenyewe. Watu wa nje mara nyingi huwa tunaona mabaya.
Kama unataka kuoa oa utakayemfurahia sio atakaefurahiwa na watu.
Nyie ndio mtakaotengeneza maisha yenu. Usipende kuangalia comments za ndugu maana binadamu mara nyingi tunauona ubaya tu.