Swali kwa kina dada tuu...

 
siku hizi hawatoi manundu nasíkia wanakupaka upupu,kazi kwako kujikuna.

HIYO ZAMANI, SIKU HIZI UNALIWA TIGO HUKU SHOOTING KAMERA NA PICHA MNATO ZINAENDELEA.:smile-big::smile-big:
 
Madada zetu wa siku hizi ukimpa hata kazi akuchunguzie na kukuopa habari furani daima wamekuwa wagumu sana kufanya hivyo sijui ni kwanini?
 

unaongea tuu au unamaananisha. Maana huwa hamkawii kununaniana. Halafu mnafikiri wifi anafaidi sana kuwa na kaka wakati ni mali yake. Mmmm, hata siwaelewi.
 
Majibu
1. Inategemea na rafiki, tuna marafiki wa dizaini nyingi. Kuna wengine naona kabisa hawezi kuendana na kaka yangu ila mimi na yeye tunapatana
2. Huwa nafikiri msichana yoyote mzuri wa tabia na umbo aolewe na kaka yangu ila sifikishi ujumbe kwasababu suala la nani amuoe nani ni uamuzi wa mtu binafsi hivyo sio vizuri kuingilia.
3. Swali la 3 gumu kwa sababu bado sijatambulishwa wifi ila nikitambulishwa nikamuona ni mtu mwenye nyodo, mashauzi, pozi nyingi, nidhamu zero, uchangamfu f, kavivuvivu, kachafu lazima nitamponda.
 
Nipe kaka yako rafiki yako sasa naona unaweza nisaidia maana.....
 

hahahahahah,, afadhali umesema kweli, hapa ndio nilikuwa napataka. Good point.
 
kukusaidia nini?

Ungejua wanaume ni waoga kusema, kama nini mlivyo waoga kutwambia??. lakini naamini kama dada zetu mngetushauri kwa ufasaha naamini tungepata wenza wazuri zaidi. Tatizo linakuja si wote wanao weza kukushauri vizuri, na ikitokea kosa kama hilo ni balaa maana huo ni mzigo wako na si wa dada mtu. Lakini bado dada zetu mnaweza sema yaliyo moyoni mwenu kutushauri. Umenifurahisha sana poit ya hapo juu.
 

mapenzi hayana ushauri kaka yangu. Unajua suala la kupenda kama hisia ni wewe mwenyewe ndio unatakiwa uweze kuzihandle.
Uzuri wa mpenzi wako obviouse unaujua mwenyewe. Watu wa nje mara nyingi huwa tunaona mabaya.
Kama unataka kuoa oa utakayemfurahia sio atakaefurahiwa na watu.
Nyie ndio mtakaotengeneza maisha yenu. Usipende kuangalia comments za ndugu maana binadamu mara nyingi tunauona ubaya tu.
 

Unajua sometimes watu wanajua kuwa umekamatwa,binti mwenyewe hata haeleweki, haheshimu watu zaidi ya wewe mwoaji, halafu wanaongea wewe usipo kuwepo tuu, kumbuka mchumba siyo mke, kama nikisha oa basi hakuna changuo tena. Unajua nini, wanao pendana huwa kama vipofu , halafu hawana la msingi zaidi ya kuzungumzia mapenzi. Lakini aliyeko nje anaona kuliko aliyeo ndani.

Hili si lazima, lakini ningependa kuona walau watu wanaliangalia kwa umakini, ndio maana zamani (japo sasa si mhimu), ilikuwa huwezi kuoa ukoo usio julikana, lazima familia ipate habari juu ya familia husika, kama ni wachapa kazi una kibali cha kuendelea.
 
Wifi na kaka wataishi kwao nami kwangu kwanini niweke pingamiz?kaka akisema anioe mie nitafanyaje?akina wifi acheni ukware.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…