Swali kwa kina dada.

Leonard Robert nayajua mawazo yake, kila siku kazi yake ni kututuhumu. Naona yalisha wahi kumkuta
 
nikiwa nina uhakika 100%
itabidi nimtahiri mara ya pili
au nivunje mayai ......
nadhani hii ndio solution
 
upo sahihi. Hii kitu imemtokea sista wangu this week. Amegundua mumewe wa ndoa ana watoto wawili nje. Imagine, sista ameumia sana mpaka anatia huruma.
Wanaume plz lindeni ndoa zenu.


Loh....kuna wanaume wa ajabu kweli!!!
Pole yake jamani!
 
Jamani Lizzy kama its the right man, kuna unique raha - just tread carefully kutafuta shem, tufanye hiyo sherehe. Welcome to the club...

Dah sasa bibie huyo Mr. Right wangu mpaka ajue nilipo anifuate ntakua nimeshazeeka hata ''duties'' za ndoa siwezi tena!!Ila ngoja nitulie labda nisilodhani litakua!!
 

Mwanaume hawagi malaya jaribuni kuangalia kamusi ya kiswahili maana ya neno malaya!
 
Hapo sina jibu, nafikiri nitaamua hapohapo likinikuta cause naweza sema nitafanya hivi likatokea nikafanya vingine
 
kama aliwazaa kabla ha2jafunga ndoa,na hana mahusiano nao tena,akikiri nitawachukua na kuwalea ila nikigundua ni baada naenda kupima then majibu ndio yatanipa maamuzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…