Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lizzy Why?
nikiwa nina uhakika 100%
itabidi nimtahiri mara ya pili
au nivunje mayai ......
nadhani hii ndio solution
Dah sasa bibie huyo Mr. Right wangu mpaka ajue nilipo anifuate ntakua nimeshazeeka hata ''duties'' za ndoa siwezi tena!!Ila ngoja nitulie labda nisilodhani litakua!!
Mwanaume hawagi malaya jaribuni kuangalia kamusi ya kiswahili maana ya neno malaya!
Kidume....rijali...mwanaume wa ukweli...
( Mzima mpendwa???? )
Nitasubiri tu usijali.Ptuuu....
Ndo nimetema hivyo dearest ila badonaona hamu sina!
Hata ukifikisha miaka 50 bado nakuhitaji.Dah sasa bibie huyo Mr. Right wangu mpaka ajue nilipo anifuate ntakua nimeshazeeka hata ''duties'' za ndoa siwezi tena!!Ila ngoja nitulie labda nisilodhani litakua!!
Lizzy we jikalie hivo hivo msela,who knows inawezekana ukawa better off kuliko hao walioolewa.Ila kama huna mtoto tafuta hata kama utazaa na mme wa mtu ili mradi uwe na uwezo wa kumlea mwenyewe.Dah sasa bibie huyo Mr. Right wangu mpaka ajue nilipo anifuate ntakua nimeshazeeka hata ''duties'' za ndoa siwezi tena!!Ila ngoja nitulie labda nisilodhani litakua!!
anakuwa kicheche.<br />
<br />
Kwa hiyo anakuwa nani?!
Bora kina sie tusio na matarajio ya kua na hao waume!!!
Na kweli nimepekua sijaonaMwanaume hawagi malaya jaribuni kuangalia kamusi ya kiswahili maana ya neno malaya!
Bishanga hata hili sio la mwanaumeanakuwa kicheche.
Usiombee. Utaomba dunia ichanike ujitupemo!Likinifika nitakujibu.
Bishanga hata hili sio la mwanaume
Lizzy we jikalie hivo hivo msela,who knows inawezekana ukawa better off kuliko hao walioolewa.Ila kama huna mtoto tafuta hata kama utazaa na mme wa mtu ili mradi uwe na uwezo wa kumlea mwenyewe.