Swali kwa kina dada.

Hivi thanks imerudishwa? nilishazoea like
 
Mapenzi ya leo kimeo
 
Dah sasa bibie huyo Mr. Right wangu mpaka ajue nilipo anifuate ntakua nimeshazeeka hata ''duties'' za ndoa siwezi tena!!Ila ngoja nitulie labda nisilodhani litakua!!

Hivi vitu Lizzy inatakiwa u relax, hata usimfikirie hata kidogo - in the process tutapata tu a perfect shem. Pia kuna option ya kunitembelea nikuandalie dinner mana huby ana marafi ambao bado wako single na wana pontetial....
 
Mwanaume hawagi malaya jaribuni kuangalia kamusi ya kiswahili maana ya neno malaya!

Asante. Lugha yetu nayo sometimes ni ngumu Mulama.... alafu nimetafuta kamusi siioni... Tafadhali niambie mwanume anaitwa nani/nini?
 
Ptuuu....
Ndo nimetema hivyo dearest ila badonaona hamu sina!
Nitasubiri tu usijali.

Dah sasa bibie huyo Mr. Right wangu mpaka ajue nilipo anifuate ntakua nimeshazeeka hata ''duties'' za ndoa siwezi tena!!Ila ngoja nitulie labda nisilodhani litakua!!
Hata ukifikisha miaka 50 bado nakuhitaji.
 
Kuzaa nje ya ndoa kweli s isawa, lakini cha msingi ni kujiuliza ni nini kinachomplekea mmeo kutoka nje ya ndoa.
 
Dah sasa bibie huyo Mr. Right wangu mpaka ajue nilipo anifuate ntakua nimeshazeeka hata ''duties'' za ndoa siwezi tena!!Ila ngoja nitulie labda nisilodhani litakua!!
Lizzy we jikalie hivo hivo msela,who knows inawezekana ukawa better off kuliko hao walioolewa.Ila kama huna mtoto tafuta hata kama utazaa na mme wa mtu ili mradi uwe na uwezo wa kumlea mwenyewe.
 
Atakuwa kweli ni kiwembe ,
Nitaenda kucheki afya kisha nakaa na husb tunapanga maisha upya na kupeana misimamo ya kueleweka
 
Lizzy we jikalie hivo hivo msela,who knows inawezekana ukawa better off kuliko hao walioolewa.Ila kama huna mtoto tafuta hata kama utazaa na mme wa mtu ili mradi uwe na uwezo wa kumlea mwenyewe.

Unasemaje???,
kwa nini unamshauri kwa mume wa mtu??,
Ni nini lengo lako Bishanga??,
Ndoa za kaka,wadogo,dada zako unazitakia mema kweli??

NYUMBA KUBWA, ASHA D,
NYAMAYAO, je mmemsikia BISHANGA???,
mimi simwelewi kabisa na huu ushauri wake?,

Najisikia kizunguzungu ghafla.....
Manake bishanga anaruhusu jiwe lirushwe kwenye umati wa watu wengi,
hata sijui litatua wapi...kwangu? au kwenu wenzangu?
 
divorce ya nguvu akaishi na vipanya vyake,miwanaume ya kiafrica ovyo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…