Swali kwa kina dada.

Du! mume wa hivyo balaaaaaaaa - anyway turudi kwa watoto
1. Nitawachukua hao watoto - huyo baba lazima awalee - awasomeshe kwa gharama yoyote - wanaume wengine wanakataa responsibility na kuharibu maisha ya watu wengine (hao watoto wasio na makosa) kwani mama 'changudoa na mwingine bar'mai' sidhani kama wana akili ya kuwaendeleza hao watoto
[ NIKO KI-UNICEF ZAIDI HAPA]

2. Kama huyo mume hana uwezo - hapo itakuwa imekual kwa 'watoto' kwani sitawachukua ndani ya nyumba

shida ni pale atakaporudia tena kosa hilo hilo????/ kweli MUME asiye mwaminifu ni SHIDA

hapa nimesema kama MAMA - ila mie ni YATIMA TU...........:A S-baby::A S-baby:
 
nnunu we ni nkikulu au nnyambala?
 
simpka itokee ss achen fikra hzo au unaomba ushaur imekutokea
 

Nimekupigia saluti na bonge la senksi, kweli uko kimama zaidi.
 
Unabeba mizigo na kuondoka kwenda wapi? Si ndio shida na raha hizo? tehe tehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…