Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
Bacha hujatulia, unahitaji kupepewa!!!!!!!
Unishi kwa kufuata wenzio?kama wanandoa wanatoka nje ni lazima awaige?unajua ni nini kiongozi ,hebu tujaribu kuwa wawazi tu,kama wana ndoa wanatoka nje ya ndoa yao,sembuse huyu mshikaji na demu wake???????yeye ampotezee kwa muda wakati kiu yake anaitafutia njia mbadala!
UKIFIKIRIA MADEMU WENGI UMEWAKATAA KUSEMA UKWELI KWA KUMTUNZIA HESHIMA YEYE LAKN NAONA NAMNA GANI.
WEWE KAMA RIJALI na Una matamanio UTAFANYAJE ??! na bint kama kuolewa hataki mpaka baada ya miaka 3 ya degree yake ikiisha? UTASUBIRI? !! UTAENDELEA KUMTUNZIA HESHIMA DEMU WAKO AU?!
Unishi kwa kufuata wenzio?kama wanandoa wanatoka nje ni lazima awaige?
Jamani, msihalalishe ngono, kufanya tendo la ndoa nje ya ndoa hakukubaliki. Mimi namuunga mkono huyo dada na namshauri huyo kaka awe mvumilivu, kama mna mawasiliano mazuri utajua tu kama mwenzio ana uhusiano na mwingine.
Mimi ni Mama na nina familia yangu kwa sasa, lakini niliweza kukaa miaka 27 nikiwa bikra mpaka nlipoolewa. Naamini ni heshima kubwa sana mwanamke akiweza kujitunza mpaka aolewe na naamini hata mme akimkuta mke Bikra atafurahi na anajiamini zaidi.