Swali kwa Kitila Mkumbo; Kama Sauti ya Askofu (anayetaka Samia kuitwa Mama wa Taifa ni ya Watanzania) vipi Ile ya TEC iwe sio ya Watanzania?

Swali kwa Kitila Mkumbo; Kama Sauti ya Askofu (anayetaka Samia kuitwa Mama wa Taifa ni ya Watanzania) vipi Ile ya TEC iwe sio ya Watanzania?

Hilo ni swali tu Wala Sina ugomvi Wala husda ya MTU yoyote kuitwa vyovyote vile aitwavyo.

Inawezekanaje Askofu (sijui kama ni Askofu KWELI) kutaka Samia kuitwa Mama wa Taifa iwe ni Sauti ya Watanzania na.....
1. Isiwe ni Sauti ya Watanzania Kwa wale Maaskofu wa TEC kuhusu "kuuzwa" Kwa bandari zetu?
2. Kwanini "Askofu" huyo hakukemewa Wala kulaaniwa Kwa "kuchanganya" Dini na siasa ila iwe hivyo Kwa TEC? Au siku hizi kuna cheo Cha Uaskofu Huko CCM?
3. Inawezekanaje Askofu mmoja awe NDIO Sauti ya Watanzania na Sio Baraza la Maaskofu? Hili nitamuuliza Binti yangu.....

Inawezekanaje Mizani Ile ile Leo iwe sahihi ila Jana iwe sio sahihi???

Tumekua wepesi wa kusahau kiasi hiki au ni makusudi??View attachment 2784979
Hehehee akikujibu nimekaa pale
 
Huyu mazer kama ndiye amesema haiwezekani miaka 60 singida bado ni masikini, wakati miaka 60 under ccm Tanzania bado ni masikini, basi naye ni masikini wa akili.
Ni jambo la kushangaza kwa sabau Singida ina utajiri mkubwa. Wa amazing, ardhi ya kilimo na mifugo.

Wageni wengi waliohamia Singida wametajirika.

Naifahamu sana Singida.
 
Kwani huyo askofu hana haki ya kusema yeye mwenyewe mpaka akusemee na wewe?

Mimi hajanisemea, na aliposema hayo nikasema mimi ntamuiyta mama Samia tu, nimelipenda bure, Hilo la mama wa taifa halijanikalia sawa kulitamka, silitumii.

Tatizo nini?
Kuna watu ni wajinga sana.

Kitila Mkumbo na huyo Askofu njaa, hawawajui mama zao? Yaani wanataka wagombanie mama wa watu na wenye mama yao? Abdul asikubali. Kitita na huyo askpfu uchwara wawatafute mama zao, wawape heshima zao. Unafiki wa kumfanya mama wa watu wengine kuwa mama yao, ukome.
 
Watanzania waliosoma ukiwasikia wakiongea mbele ya huyo bibi, hutatamani kumpeleka mtoto wako shule
Kweli aisee..mm shawaambia watoto wangu waangalie taarifa za habari za Kenya!
Habari za Tanzania wataishia kujifunza
1:Kazi ya Rais ni kugawa Hela 2.Majukumu ya VIONGOZI Waandamizi Serikalini ni kumsifia Rais
3.Nchi hii Ina mtu mmoja tu mwenye akili ,naye ni Rais aliyeko madarakani!
 
Kweli aisee..mm shawaambia watoto wangu waangalie taarifa za habari za Kenya!
Habari za Tanzania wataishia kujifunza
1:Kazi ya Rais ni kugawa Hela 2.Majukumu ya VIONGOZI Waandamizi Serikalini ni kumsifia Rais
Hilo lako naona ni baya ikiwa baba.

Kwa mama ni heshima.
 
Viongozi uchwara wenye mawazo ya jumlajumla. Eti ndo Think Tank za Tanzania na Kuna watu Wana matumaini nchi itapiga HATUA. Thubutu!!!!
 
Huyu prof na yule wa vinyesi mto Mara hawana tofauti
Sikufahamu huyu ndugu anaweza kuwa MJINGA kiasi hiki? Nilimheshimu lakini sasa nimemdharau. Nafikiri ndio maana hawezi kushinda ubunge UBUNGO
 
Back
Top Bottom