Swali kwa LATRA: Adhabu ya kufanya hujuma kwa nchi ni kampuni za mabasi kusitishiwa leseni kwa mwezi mmoja?

Swali kwa LATRA: Adhabu ya kufanya hujuma kwa nchi ni kampuni za mabasi kusitishiwa leseni kwa mwezi mmoja?

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Habari wakuu

LATRA Imesitisha Leseni za usafirishaji Kwa makampuni 22 baada ya kunainika kufanya Hujuma kwenye mfumo wa kufuatilia mwendokasi wa Mabasi.

Swali yaani Kampuni zifanye hujuma Kwa Nchi na usalama wa watu then adhabu yake iwe kusitisha Leseni Kwa Mwezi Mmja?

Huu ni mzaha ms kucheza ma maisha ya Watanzania,Kwa nini wasipelekwe mahakamani wakalipishwa faini ya kuzidi ma Leseni zao kufungiwa miezi kadhaa?

LATRA mnamuogopa nani? Hamuoni watu wanavyokifa Kwa ajali?

=======

Mamlaka ya udhibiti usafiri ardhini (LATRA) imesitisha leseni za usafirishaji abiria kwa mabasi yapatayo 22 yanayofanya safari zake mikoa katika mbalimbali hapa nchini kwa muda wa mwezi mmoja baada ya kuchezea mfumo wa kufuatilia mwenendo wa magari (VTS).

Fpevaj8X0AIL249
 
Wayataje hayo makampuni yasijekuwa hewa
Naona wameyaficha,Hawa wanafanya mambo Kisiasa na sababu ni kwamba huenda humo ndani Kuna Wanasiasa..

Tukianza kufikia huko inamaana Sheria itakuwa ni Kwa watu maskini na Haki haki.kwa matajiri
 
Usikute watumishi wa LATRA nao wamesomea udaktari ndyo maana wanahide majina ya wateja wao buana😂😂
 
Back
Top Bottom