Mimi sio mtaalam sana ila ni kama 20 metre square kwa kuku 100, ikimaanisha kuku 6 watahitaji 1 square metre.....
Malila namaanisha 1 square metre, na ni wa kienyeji/ hata wa mayai pia
wanaweza kukaa kwa kipimo na eneo hilohilo..... Isipokua itategemea na mazingira na muundo au ujenzi wa banda mfano kwa Dar es salaam itabidi wawe kuku 4 hadi 5 kwa sq metre na banda liwe na madirisha ya kutosha kuwaepusha kuku na joto kali.....
mi ninataka kuweka fensi ili wasizagae na waishi kama vile wanavyofugwa kienyeji tofauti ni kutozagaa
Good idea bro unahitaji kutumia mfumo gani kufugia kuku pia nakushauri utafute jogoo la kisasa ili uboreshe mbegu mi ndo fani yangu bro